Diamond Platnumz Alivyoporwa Kofia na Wagogo wa Dodoma, Akasirika Vibaya na Kugoma - Mapenz Wakubwa

Hot

Sunday, December 3, 2023

Diamond Platnumz Alivyoporwa Kofia na Wagogo wa Dodoma, Akasirika Vibaya na Kugoma

 

Diamond Platnumz Alivyoporwa Kofia na Wagogo wa Dodoma, Akasirika Vibaya na Kugoma

Supastaa wa Bongo Fleva na CEO wa WCB, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz akiwa mkoani Dodoma kwenye shamra shamra za Wasafi Festival alitembelea moja ya duka la Simu mkoani hapo, sasa wakati akiondoka aliibiwa kofia yake hadhara ambapo kitendo hicho kilionekana kimemkwaza.

Diamond baadae alighairi kuondoka mpaka apate kofia hiyo, alitoa sharti la kutafutwa kwa kofia hiyo na mmoja wa walinzi wake mpaka baadae ilipopatikana.

Kofia hiyo imeonekana kuwa na thamani ya dola 38 sawa na shilingi 5,800 za Kenya na 96,000 za Tanzania.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/omjqGhA
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/4p5hRLs

No comments:

Post a Comment