Ukweli Mchungu: Yanga Yaonyesha Uwezo Mdogo Kimataifa, Al Ahly Wameonesha Ukubwa wao - Mapenz Wakubwa

Hot

Sunday, December 3, 2023

Ukweli Mchungu: Yanga Yaonyesha Uwezo Mdogo Kimataifa, Al Ahly Wameonesha Ukubwa wao



Yanga hawakustahili kupata hata hii alama moja ,Al Ahly walistahili kushinda kwa sababu walitawala mchezo hasa kipindi cha pili na leo Nyota wa mchezo ni Djigui Diarra ,saves zake tatu ndio ambazo zimewaweka Yanga mchezoni “

“Mimi silaumu kwa sababu hiii inaonesha mambo mawili ,Al Ahly wameonesha ukubwa wao na Yanga wameonesha udogo wao kwenye mashindano haya ya kimataifa “

Yapi maoni yako kama mdau ______?


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/9Wnfm4u
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/IHJ34rx

No comments:

Post a Comment