Mapenz Wakubwa: Jifunze mapenz

Hot

Showing posts with label Jifunze mapenz. Show all posts
Showing posts with label Jifunze mapenz. Show all posts

Friday, December 20, 2019

Njia 6 za Kumfanya Mpenzi Wako Ashikamane Nawe

December 20, 2019 0
Related image
Epuka hasira;
Usishughulikie changamoto kwa hasira, jazba na mhemko. Kwa asili binadam hapendi kushambuliwa hata kama ana makosa. Usimkabili mpenzi wako ukiwa na hasira. Kama unataka matokeo mazuri, basi subiri pale mtakapokuwa mmetulia hapo utaweza kumkabili na kuzungumza naye kwa utulivu. Moja kwa moja utamuona akilifikiria jambo hilo kwa utulivu huku akijilaumu. Hii ni njia bora kabisa ya kushughulikia changamoto za mahusiano. Kadhalika iwapo mpenzi wakoamefanya kosa usisahau kuwa anayo mazuri pia. Miongoni mwa sababu kubwa za wapenzi kuachana ni pale wanapojikita kwenye mabaya na kusahau mazuri ya upande wa pili.
Epuka kumAibisha mbele ya watu;
Hakuna kitu kinachomkasirisha mtu kama mpenzi anayemkera na kumuaibisha mbele ya watu, mbele ya marafiki na jamaa zake. Jambo hilo huwa na taswira hasi kwenye saikolojia ya mtu hata kama ulikusudia kufanya utani tu. Huwezi kujua reaction yake kwa ulichokifanya. Hivyo, epuka sana jambo hilo ili mahusiano yenu yasonge mbele kwa amani.
Epuka kupiga makelele:
Unapotaka kuwasilisha hoja yako tumia sauti, usitumie kelele. Hakika sauti mbaya zaidi ni sauti ya punda, basi usiifanye hoja yako kutawaliwa na sauti kama ya punda badala ya sauti maridhawa iliyojaa madaha na umaridadi wa kimahaba.
Acha kumpigia makelele mpenzi wako na kumkumbusha kasoro zake kila mara, kwa sababu hakuna mtu mkamilifu, na upendo wa kweli hujengwa kwenye kustahmiliana na kuvumilia kasoro za mwenzako. Usijaribu kuyalinganisha mazuri ya watu wengine na yale ya mpenzi wako. Hao wengine unayajua mapungufu yao? Je, huyo unayemlinganisha na mpenzi wako umeziona kasoro zake na mpenziwe? Usimfanye mpenzi wako ajihisi duni kwa kasoro zake, bali muoneshe kwamba licha ya kasoro zake bado ni Majnun wako.
Vitendo vya kimahaba vitawale mahusiano yako:
Mahusiano mengi hufa kwa sababu zinakosa vitendo vya kimahabba kutoka kwa wapenzi husika. Hakika vitendo hivyo humuonesha mpenzi wako kuwa unafurahia kuwa naye. Vitendo vya kimahabba ni zaidi ya tendo la ndoa. Vitendo vya kimahabba huakisi ulimwengu wako wa ndani. Pumzi zako huwa romantic, maneno na kauli zako huwa romantic, mapishi yako huwa romantic, mavazi yako huwa romantic, chumba chako huwa romantic, maji ya kukoga huwa romantic…. Hakika kila kitu chako huonesha umaridadi wako wa kimapenzi.
Usiwe kama bosi wake:
Usijaribu kumwambia mwenza wako anachotakiwa kufanya kazini kwake. Anapokuwa amekosea jambo fulani kazini, usijaribu kumkosoa na kumnanga, bali msikilize na umpe moyo wa kukabiliana na changamoto hiyo. Mwambie kuwa unaamini anaweza kuitatua.
Mfanye kuwa kipaumbele chako:
Unapoingia kwenye mahusiano, basi mtu ambaye anapaswa kuwa namba moja katika maisha yako ni mwenza wako. Sio kazi yako wala familia yako. Kwa kufanya hivo utamfanya mpenzi wako ajihisi ni wakipekee zaidi na azidishe upendo wake kwako na ashikamane nawe zaidi na hivyo kuyafanya mahusiano yenu yadumu zaidi na zaidi.
Fikiria hayo.


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI


Read More

Sunday, October 13, 2019

Jinsi ya Kujua kama Umemfikisha kweli Kileleni na Kumridhisha Mwanamke Wako.

October 13, 2019 0
Image result for sasha tz


Unahisi unawezaje kutofautisha kama umemfikisha kweli mpenzi wako kileleni au anapiga kelele za kimahaba za kukuzingua?
#1; Unamwelewa
Tuweke hivi, “Ooooh, hapo hapo usiitoe… ooh, naisikia mpaka kichwani!”, mwanamke huwa anasema hivi akiwa anakandwa miguu yake na maji ya moto baada ya safari ya miguu ya mwendo mrefu, “OH… USI…., JAMA… UNA…. NDIO…., HAPO HA…”, hivi ndomwanamke anavyosema ukiwa unashughurika vizuri kitandani, akiweza kuunganisha sentensi nzima na ikaeleweka ujue anakuzuga, maana akifikia mshindo akili yote inakua kama haifanyi kazi vizuri na ikitokea akiwa analia kama kwenye video za ngono wanavyolia, ujue anakusubiri umalize mambo yako aanze kukuelezea shida zake alizonazo, wale wa kwenye video za ngono huwa wana igiza, mwanamke wa kihalisia wa kawaida huwa hawafiki kileleni iwapo mwanaume anatumia nguvu ovyo ovyo bila ya mpangilio na msuguano wowote unaohusisha kinembe.
#2; Uso wake unakuwa mzuri
Ulishawahi kujiangalia kwenye kioo wakati uume waako unagombana na mikono yako, najua ulishawahi kujisugua, nani ambae hajawai…, hakuna!, na unaelekea yale mambo kumwagika, unajua usowako unakuwaje?, uso wako unakuwa kama vile unataka kutolewa maisha au kama unataka kulia vile, binadamu wote wako sawa upande wa kihisia, hata wanawake pia!, akiwa na sura nzuri wakati ndo anafika mshindo ujue hapo hakuna!, anatakiwa kuwa na sura ambayo haina mvuto kama anataka kulia na sio awe bado anapendeza kama ndo anaingia harusini.
#3; Unafanya mapenzi na mpenzi wako kwa staili ya kimbwa mbwa
Mwanamke kufika kileleni kwa stairi ya kujamiiana kutoka kwa nyuma ni sawa na wewe kufika mshindo huku mwanamke akiwa anakuchezea kwa mikono.
Sijasema haiwezekani, ila inahitaji ufundi mkubwa na dereva inabidi awe anaijua kwa umakini mkubwa njia yake anayopita, ili manbo hayo yaweze kutokea, kwa hio nitakua na wasiwasi kama mwanamke akisema kafika kileleni kwa kutumia hio stairi, mwanamke anauwezo mkubwa wa kufika kileleni iwapo anafanya mapenzi ila yeye ndo yuko juu ya mwanaume kashika msukani, au kwa stairi ya missionary inayoitwa Coital Alignment Technique kwa kifupi The Cat, najua huijui… i gugo(google) na utaiona.
#4; Ngozi yake inakuwa nyororo na kavu
Mwanamke akiwa amefika kileleni eneo la kuma yake linakuwa limeloana, moyo humuenda mbio, presha ya damu vyote vinakuja juu ambavyo inamaanisha lazima jasho limtoke kwa aina yeyote ile na mwili unakua na majimaji kwenye ngozi, hii ni moja ya dalili amekwea mlima na kufika kileleni kwa furaha na kama ni mmwagaji, kuma inatokwa na maji basi shuka zote huwa zimeloana.
#5; Anakubusu bila kuacha
Kwa mwanamke ili afike kileleni, inabidi awe na umakini mkubwa na kuweka hisia zake zote kwenye msuguano na msisimko anaoupata mwilini mwake ili afike mshindo, kubusu na kutekenya hawezi kuvifanya kwa wakati huo ambao anaweka mawazo yote mahala hapo, ukiona unataka kumpiga denda akageukia pembeni ujue mambo ndo yamemkolea vizuri na sio vinginevyo.


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI

Read More

Kama ana tabia hizi, jua umeoa mwanamke Malaya (slut)

October 13, 2019 0
Related image


Wakuu habari,

Leo nataka niwajulishe ndugu zangu waliooa,baadhi ya tabia ambazo ukiziona kwa mke wako,zaidi ya tabia mbili au zaidi jua umeoa kicheche,na ujue hatabadilika,maana hakujifunzia hapo kwako,watu wengi wameoa wanawake na wanakuja hapa jukwaani kulalamika mno,lakini kuna tabia ukiziona kwa mwanamke jihadhari nae kamwe hatatulia ndani milele.

Nazo ni:

1.Yupo social zaidi yako: wanawake wengi malaya wapo social na humo huficha makucha yao kwa namna nyingi mno,ataenda kwenye parties,harusi,kitchen party,birthdays etc ukiona yupo very mixed in It bro,huyo ni danger.

2. Hana hisia sana za kike: Wanawake wengi malaya wanakua kama tomboy,wengi hawana zile hisia za kike kabisa, hana machozi ya karibu wala si mtu wa kudeka deka kabisa,ukiona mke yupo hivyo, nenda tu kanisani ukaombe mno.

3. Ana marafiki wengi wa kiume: hii inawachanganya wengi ila kiukweli katika marafiki 10 utakuta 9 washamgonga kimya kimya na kwa ]sababu unamuelewa kwamba yeye hapendi marafiki wa kike,jiandae kulia kilio cha mbwa mwizi kak.

4. Ana Matatizo na baba yake: kuna uhusiano mbaya wa wazazi hasa wakiachana,na hapa binti huwa anaharibika sana,na mahusiano yake na baba yake yanavyozidi kuwa mabaya na ukicheche wake unazidi,niamini kaka chunguza mabinti wengi ambao wana mahusiano mabaya na baba zao utanipima kwa mshangao,hili nina ushahidi nalo mno.

5. Watu kumkonyeza mbele yako: Hili wanaume wengi huwa hawalielewi ila ukiwa na mke na bado wanaume wengi wanamkonyeza au kumpa signal ukiwa nae usifikiri ni mzuri sana hapana ila ni body language yake anayoidisplay ndio inampa attention anayoitaka, huyo ni hatari ni kicheche qualified, wanaume hatutoti tu signal bila kupewa go ahead, kuanzia macho hadi mavazi ya mtu wako.

6. Anapenda kunywa pombe: Hili liko wazi kabisa,ila ni hatari sana kama mke wako anapenda kunywa pombe peke yake maana anajua kabisa madhara ya pombe na hataki akilewa uwe around,huyu jua moyo wake unatanga tanga.

7. Wivu kupitiliza: Mwanamke kicheche ana wivu wa kupitiliza,hili naamini ni la kisaikolojia zaidi we unaweza kuwa unamuamini ila yeye hatakuamini kabisa.

8. Alishawahi kucheat: mkiwa mke na mume mara nyingi mke atakupigia story za zamani, akikupigia story kwamba aliwahi kum-cheat boyfriend wake wa zamani fahamu huyo ni kiboko, hawezi kuacha ku-cheat.

9. Ametoa mimba nyingi: Huyu hata sihitaji kukueleza ni kicheche,ila pia anakua na roho ngumu sana.

10. Ana wehu wakati mwingine: Ulishaona humu ndani watu wanalalamika wanawake wanavunja vitu, wanawatukana na mengineyo, huo ni wehu, na wakiwa wehu wanawake wengi wanatulizwa na sex, kama haupo around, imekula kwako bro.

Haya ni maoni, sio lazima mtu akiwa na sababu moja ndio udhani yupo hivyo hapana,ila ni kama angalizo, watu wengi wameingia kwenye matatizo makubwa mno kwa kuingia kwenye mahusiano ambayo yamewatesa au yanaendelea kuwatesa mno na kama mtapata watoto ndio inakua mbaya kabisa. 

Jitahidi kuangalia hizo sababu na kama hujaoa epuka mwanamke wa aina hii, kama umeoa omba sana MUNGU akuonyeshe njia za kutatua la sivyo utakua kichaa na wewe.


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI


Read More

Tuesday, October 8, 2019

Haya Ndiyo Madhara ya Kufanya Mapenzi na Mwanamke Wakati wa Hedhi.

October 08, 2019 0


Image result for sasha tz
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani hiloo ndilo kosa kubwa la vijana wengi wa siku hizi…Zifuatazo ni baadhi ya madhara yanayoweza kutokea endapo wawili hawa wakafanya ngono wakati KE yupo katika siku zake{period}.. 
 Madhara kwa Mwanaume.
1.Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.
2.Maambukizi katika tezi dume(Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.
3.Kuziba kwa njia ya mkojo.
4.Utasa au ugumba.
5.Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume.
6.Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji,utelezi, au harufu kali na mbaya na hivyo kuona kuwa mwanamke ni mchafu.Pia hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.
Madhara kwa Mwanamke.
1.Kupatwa na mambukizi viungo vya ndani vya uzazi kama vile shingo ya kizazi,mirija ya uzazi kwa ujumla wake anaweza kuwa na tatizo la PID( PELVIC INFLAMATORY DISEASES) tatizo ambalo linaweza kuathiri mfumo wake wa uzazi.
2.Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi.(Dysmenorrhea).
3.Utokaji wa damu unaweza ukaongeza kuliko vile inavyotoka kwa kawaida yake.
4.Utasa au Ugumba.
5.Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba au kutanunuka hali pia itamsababishia maumivu kwenye uke wakati wa tendo la ndoa.
6.Athari mbaya ya kisaikolojia:Mwanamke atahisi kuwa mumewe hamjali wala mpendi bali anajali hisia zake za kingono na kwamba yeye anatumika kingono tu.Pia kuona kuwa mumewe ajali afya yake pamoja na maumivu anayoyapata lakini bado huyu mume anataka KU-DO.
NOTE
Hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI


Read More

Friday, September 6, 2019

Mambo ya msingi ya kuzingatia ukiachwa na mpenzi wako

September 06, 2019 0


Download app yetu mpya DOWNLOAD
Kila chenye mwanzo mara nyingi huwa hakina mwisho sio maneno yangu ni maneno ya wahenga wenyewe. Wakati mwingine yawezekana uko kwenye mikono salama kwa huyo mpenzi wako ila naomba nikuibie siri kwamba ipo siku mtaachana tu kama utashindwa kufahamu namna sahihi ya kumfanya mwenza wako asikuache.
Hivyo kama ikitokea umeachana na mwenza wako haya ndiyo mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu ili kuondokana na msongo wa mawazo.
1. Usijaribu kumpigia simu
Hata kama ukimpigia simu haito saidia, sana sana utakua unajiumiza moyo kwa hisia unazozisababisha, na hii ndo nguzo kubwa ya kutumia ili undokane na mpasuko wa moyo, baada ya kuwa nae kwa kipindi kirefu namba yake ndo namba ulioipiga mara nyingi zaidi, kwa hio kwa vyovyote vile hisia zitakua zinakutuma kwa hali ya juu ili ufanye hivi, cha kufanya hakikisha umeifuta namba yake, na kama ukimpigia simu utajikuta unajiongezea miezi ya kutomsahau na kuumia kwa msongo wa mawazo, na mtoe kwenye orodha ya marafiki zako wa facebook, fikiri ukiwa facebook  ukaona picha yake akiwa amekumbatiwa na mwanaume mwingine, nadhani unakiona kwanini mwanzo mpya ni muhimu.
2. Fanya mazoezi.
Bila mpenzi wako kukushika mkia, sasa hivi una muda wa kutosha kufanya mazoezi na kujiweka mwili katika hali nzuri, mazoezi ni mazuri kwa afya yako na ni njia nzuri ya kuondokana na hisia, ukiwa na mwili mzuri ni kitu kizuri cha kuvutia wasichana wapya.
3. Kaa mbali na marafiki zake pamoja na sehemu anazopendelea kushinda.
Kama unataka kuondokana na hisia zitokanazo na kukutana na mpenzi wako wa zamani kwa mda huu, inabidi ujitoe kwa baadhi ya mambo, inabidi ukate mawasiliano na baadhi ya marafiki ambao wapo upande wake na kuachana kabisa na baadhi ya sehemu mlizokua mnapendelea kwenda. Ni vitu vidogo kuvitoa kama utakuwa unahitaji pumziko la hisia, mawazo na akili yako kwa ujumla.
4. Tupa mbali kumbukumbu zozote zinazokukumbusha wewe na yeye.
Hilo doli, kadi na hayo maua aliyokupa kwa ajili ya siku yako ya kuzaliwa, hilo shati alilokununulia, hizo picha zilizotoka vizuri za yeye na wewe, ondoa zote na eiza uzitupe au uweke mbali, utavyoharakisha kutoa hivyo vitu ndo utakavyo sahau kwa haraka zaidi na kabla hujauliza “ndio”, unaweza acha vitu ambavyo havikuletei hisia yeyote, ila nguo zake, vito vya kuvaa na vingine vyovyote vinavyo kukumbusha mbali viondoe
Read More

Tuesday, September 3, 2019

Kama unataka kudumu katika mahusiano yako epuka kumwambia mpenzi wako maneno haya

September 03, 2019 0
    Image may contain: 2 people, people smiling, people standing
                                                     

 download app yetu mpya DOWNLOAD 
Endapo umekwisha ingia katika mahusiano au unatarajia kuingia katika mahusiano ya kimapenzi, yapo mambo yanyofaa ambayo junaweza kumwambia mpenzi wako naye akafurahi, lakini yapo mambo ambayo kimsingi hupaswi kabisa kumwambia mpenzi wako. Kwani endapo utaamua kumwambia utatengeneza njia ambayo itawafanya mahusiono yenu yafe mara moja.
Maneno yafuatayo ni hatari kwa kuwa yanaleta madhara makubwa moyoni mwa mlengwa na ni vyema kuzuia kuyatamka kwa namna yoyote ile.
Maneno  Mabaya Ambayo Hutakiwi Kusema Kwa Mwenza Wako:
1. Nakuchukia
Chuki ni kitu kikubwa sana,kwa kweli huwezi kuishi na mtu ambaye unamchukia. Hutakiwi kumtamkia mwenza wako neno hili. Unaweza kuchukia tabia yake lakini si yeye mwenyewe. Njia nzuri ni kusema kuwa “Nachukia au sipendi tabia yako ya kuchelewa kurudi nyumbani” au maneno yanayofanana na hayo.
2. Maneno ya Matusi
Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini neno hili linaleta majeraha kama likitoka kwa mwenza. Hasa kama linatoka wakati wa ugomvi au kutofautiana.
Useseme maneno mabaya yanayomshusha mweza wako mfano kuhusu mwonekano mbaya wa mwenza wako kama “sura mbaya”,”Mnene kama nguruwe” n.k
3. Kumfananisha Tabia Mbaya mwezi wako na Wazazi Wake.
“Tabia zako kama mama yako”, au “..kama baba yako” maneno yanayomfananisha mwenza wako na wazazi au familia anakotoka yanachokoza sana na huweka vidonga kwa muda mrefu moyoni na yaepukwe.
4. Acha! Nitafanya Mwenyewe
Katika mahusiano kusaidiana ni jambo la kawaida na muhimu,maneno mabaya ya namna hii yanamvunja moyo mweza wako kutaka kufanya jambo kwako siku nyingine na linaleta utengano na kuvunjika kwa upendo.
5. Maneno Mabaya ya Kukatisha Tamaa
“Hutaweza” ,”Hutafanikiwa” n.k yanavunja moyo kwa mwenza wako na kurudisha nyuma maendeleo.
Ni muhimu kwa wenza kupeana moyo na kusaidiana ili wote muende mbele kwa pamoja. Umoja ni nguvu.
Hivyo nikusihi ya kwamba kama kweli unataka kudumu katika mahusiano ya ndoa acha mara moja kumwambia maneno hayo, bali unatakiwa kumfariji kwa maneno mazuri yenye kuleta upendo wa kweli na kujenga hamasa ya kudumu milele.
Read More

Kukumbatiwa na umpendaye wakati wa maumivu kuna nguvu zaidi ya dawa Paracetamol

September 03, 2019 0

download app yetu mpya DOWNLOAD


Kumbatio kutoka kwa mtu umpendaye, linaweza kuwa na nguvu zaidi ya Paracetamol pale unapokuwa na maumivu, kwa mujibu wa utafiti.
Wanasayansi wamebaini kuwa hisia za ukaribu tunazozipata kupitia mtu anayetushika, kunaweza kusaidia kupunguza maumivu. Lakini kushikwa na mtu usiyemjua, kunaweza kusiwe na matokeo yale yake, kwasababu hatuna hisia nao.
Utafiti huo unaonesha nguvu ya ubongo kuzuia hisia za maumivu. Utafiti huo ulifanywa na wataalam katika chuo kikuu cha Haifa, Israel na ulihusisha wanawake kadhaa ambao waliwatengenezea maumivu kwa kuwaunguza na chuma chenye moto kiasi.
Katika jaribio la kwanza, mtu wasiyemjua aliwashika mkono akijaribu kuwaliwaza kwa maumivu hayo. Kwenye la pili waliwaita waume na wapenzi wao kukaa karibu nao na kugusanisha ngozi.
Katika jaribio la mwisho, wapenzi wao waliruhusiwa kuwashika mkono wakati chuma hicho cha moto kikigusishwa kwenye ngozi zao. Wanasayansi walibaini kuwa mguso wa mtu wasiyemjua pamoja na kuwa na mpendwa wao karibu hakukuwa na tofauti katika jinsi walivyosikia maumivu.
Lakini pale mtu wanayempenda alipowagusa kwenye ngozi, maumivu yalipungua.
Walibaini pia kuwa kadri mpenzi wa mwanamke alivyoonesha huruma na support kwake wakati wa zoezi hilo, alipata afueni zaidi.
Read More

Yajue mambo ambayo hugusa hisia za mwanamke katika mahusino

September 03, 2019 0
          Image may contain: 1 person, sitting and indoor

                                    download app yetu mpya DOWNLOAD

Upweke, kwa hakika, huzaa migogoro isiyokwisha inayowafanya wanaume [ambao kimsingi ndio wasababishi wa upweke huo] washindwe kuwaelewa wanawake. Kwa mtazamo wao, ni vigumu kumridhisha mwanamke. Wengine wanaenda mbali na kufikiri , ‘mwanamke ni kiumbe mgumu kueleweka’ kwa sababu, ‘hata ufanye nini…hata umpe nini hawezi kuridhika’.
Lakini wanachosahau wanaume wenye mawazo haya ni kuwa mwanamke kwa asili yake anayo mahitaji ya msingi ambayo yanapopuuzwa, chochote kinachofanyika kama mbadala wa mahitaji hayo hakiwezi kuwa na maana yoyote. Usipoweza kujua mahitaji yake halisi, unaweza kumpa chochote kile unachodhani anakihitaji na bado mambo yasiende kama unavyotamani iwe.
Kusema hivyo, haimaanishi sielewi kuwa wapo wanawake wengi wanaopenda kujipatia fedha kwa wanaume. Hawa ni wanawake wanaofanya biashara ya mahusiano.  Kwao, hakuna sababu yoyote ya kuwa na uhusiano imara na wenzi wao isipokuwa mpangilio wa kujipatia vitu na fedha.
Hatuzungumzii uhusiano huo wa kibiashara kati ya mwanamume na mwanamke bali uhusiano wa dhati unaojengwa katika misingi ya upendo, uaminifu, kuelewana na ahadi ya kuwa pamoja katika dhiki na raha.
Hebu na tutazame mahitaji makubwa ya kihisia aliyonayo mwanamke mwenye upendo wa dhati kwa mwenzi wake.
Kupendwa kwa vitendo 
Tulishaona kuwa hadhi ya mwanaume inategemea kwa kiasi kikubwa namna anavyoheshimiwa. Kwa mwanamke hali ni tofauti. Hadhi yake inategemea namna anavyopendwa na mwenzi wake.
Upendo kwa mwanamke unaeleweka anapoambiwa bila kuchoka na kuthibitishiwa kwa kutendewa vitendo kuwa anapendwa. Katika lugha ya kiingereza, hapa tungetumia neno affection, yaani matendo yanayoonesha mapenzi kwake.
Hata hivyo, lugha ya mapenzi hutegemea mambo mengi. Kuna athari za utamaduni, desturi na imani zilizopo katika jamii aliyokulia mwanamke. Hata hivyo, yapo matendo yaliyothibitika kuvuka mipaka ya kiutamaduni.
Mfano, kumwambia mwanamke unampenda mara nyingi iwezekanavyo, ni hitaji la msingi. Kwa mwanamume, kuambiwa anapendwa inaweza isiwe jambo la maana, lakini si kwa mwanamke. Mwanamke anatamani kusikia mara nyingi kadri inavyowezekana kuwa anapendwa.
Pia kuna vitu kama kupewa zawadi asizotarajia, kutumia muda wa mapumziko pamoja nae, kutoka naye kwenda mbali na nyumbani na mambo kama hayo yanayoonesha kuwa kweli unampenda.
Ndio kusema, ikiwa unataka kuugusa moyo wa mwanamke, akupe heshima unayoihitaji kama mwanaume, unawajibika kujua vitu gani mahususi ukimfanyia vinatuma ujumbe wa wazi kuwa unampenda. Usipoweza kumfanya mwanamke ajisikie kupendwa, anapoteza hamu ya uhusiano. Huchoka kihisia na anaweza kufanya mambo yasiyotarajiwa ili tu kuhujumu mahusiano.
Anataka kuwa kipaumbele chako
Mwanamke hapendi kujikuta katika mazingira ya kushindania nafasi ya kwanza na kitu kingine chochote iwe ni kazi, mtu au chochote kile unachokipenda wewe mwanamume.
Tulishaona kuwa kwa mwanaume, hadhi yake hutegemea zaidi namna uwezo wake unavyotambuliwa. Hali hiyo humfanya mwanamume atumie muda mwingi kufanya mambo yanaweza kumpa heshima katika jamii. Inaweza kuwa kazi, biashara, mamlaka na namna zozote zile zinazomwongezea uwezo.
Lakini wakati anapotumia muda mwingi katika mambo hayo, ni rahisi kuonekana ameyafanya mambo mengine kuwa ya muhimu kuliko uhusiano wake na mwenzi wake. Wanawake wengi hawapendi kujikuta katika hali hii. Hapa ndiko iliko tofauti.
Mwanamke hatamani kuwa kwenye nafasi ya ‘mengineyo’, ‘ziada’, ‘baadae’ ‘nikipata muda’. Unapomweka ‘akiba’ mwanamke hawezi kufurahia kwa sababu anatamani awe kipaumbele chako.
Mambo mengi huthibitisha kuwa umempa nafasi ya kwanza. Mfano kuwa na muda wa kuwa naye mara nyingi kadri inavyowezekana, kuahirisha mambo mengine ya muhimu kwa ajili yake, kuwahi miadi unapoahidi kukutana nae, kuwasiliana naye kwa karibu na mambo kama hayo. Unaposhindwa kufanya hivyo, mwanamke hupata ujumbe kuwa yeye ni mtu wa ziada baada ya mambo ya muhimu.
Kadhalika, ili kumwambia yeye ni kipaumbele, mwanamke anatamani kila unapoongea nae akili yako yote iko pamoja naye. Kuwa pamoja naye maana yake ni kuachana na vyote vinavyokuondolea uzingativu na kumsikiliza kwa makini.
Mwanamke anatamani unapozungumza naye ufuatilie anachokisema, umpe mrejesho kuwa unamwelewa na uonesha kuwa mwili, akili, hisia ziko pamoja naye kumsikiliza. Vinginevyo, mwanamke anakuoana kama hujaweza kumpa nafasi yake anayoistahili.
Read More

Monday, September 2, 2019

Hizi ndio njia za kuongeza wingi wa mbegu za kiume

September 02, 2019 0

Image may contain: 1 person, standing

download app yetu mpya DOWNLOAD
Kula lishe bora
Chakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vya kisasa havina uwezo wa kuongeza uwingi wa mbegu.
Punguza matumizi ya sukari na vyakula vya ngano. Ongeza zaidi matunda, mboga za majani na mafuta yenye afya.
Acha kutumia kahawa, vinywaji na vyakula vyenye kaffeina.
Kama una tatizo la kuwa na mbegu chache ni vizuri ukaacha kutumia vinywaji au vyakula vyote vyenye kaffeina kwanza.
Matumizi ya kitunguu swaumu
Kitunguu swaumu kina Selenium na pia kinaondoa sumu mwilini vitu hivi viwili ni mhimu kwa ajili ya kuongeza spidi ya mbegu.
Vile vile Kitunguu swaumu kina ‘Allicin’ ambayo huongeza msukumo wa damu kwenda kwenye uume.
Kujitibu unaweza kuongeza kitunguu swaumu kwenye chakula unachopika. Pia unaweza kutafuna punje 2 au 3 kila unapoenda kulala au unaweza kukatakata hizo punje 3 vipande vidogo vido (chop) kisha unywe na maji.
Usile zaidi ya punje 3 kwa siku.
Matumizi ya Mayai
Mayai yanachukuliwa kama mbadala wa uhakika zaidi katika kuongeza uwingi wa mbegu pamoja na kuongeza spidi au kasi yake. Yana vitamini E nyingi na protini ya kutosha vitu viwili mhimu katika kuongeza mbegu. Tumia mayai ya kienyeji zaidi na sio ya kisasa.
Matumizi ya Spinach
Mboga hii ina Folic asidi ambayo ni mhimu katika kuongezeka kwa mbegu za kiume.
Kula ndizi
Ndizi zina Magnesiamu, Vitamini B1 na Vitamini C, vitu ambavyo ni mhimu sana kwa ajili ya kutengeneza mbegu za kiume. Vile vile Ndizi zina kimeng’enya kimoja adimu sana kijulikanacho kama ‘Bromeliad’ ambacho husaidia kuziweka sawa homoni zinazohusiana na tendo la ndoa.
Matumizi mbegu za maboga
Mbegu za maboga zina kiasi kingi cha madini ya Zinki ambayo ni mhimu katika kuundwa au kutengenezwa kwa mbegu za kiume na homoni ya testosterone.
Vile vile mbegu hizi zina vitamini B, C, D, E, na K ambazo zote ni vitamini mhimu katika kuongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa na nguvu kwa ujumla.
Kula zaidi mboga za majani
Mboga za majani zinapunguza homoni ya ‘estrogen’ na hivyo kufanya homoni ya ‘testosterone’ ipatikane kwa wingi na kiurahisi zaidi na hivyo mbegu zako ziweze kuongezeka bila vipangamizi vyovyote. Homoni hii ndiyo inayohusika na kuzalishwa kwa mbegu
Kunywa maji mengi kila siku
Kutokunywa maji ya kutosha kila siku kuna uhusiano wa moja kwa moja na kupungua kwa uwingi wa mbegu. Mbegu zako zimetengenezwa kwa maji, zipo kwenye hali ya kimiminika.
Kunywa maji ya kutosha kunasaidia kutengenezwa kwa mbegu nyingi.
Kutegemea na uzito wako unaweza kuhitaji maji lita 2 mpaka 3 kila siku.
Tumia vyakula vyenye folic asidi kwa wingi
Vyakula hivi ni pamoja na tunda la parachichi na karoti, mbegu za maboga, ufuta, alizeti, maharage, chungwa, papai, bamia nk
Read More

Sunday, September 1, 2019

Mambo muhimu yatakayowasaidia sana kudumu katika mahusiano

September 01, 2019 0

Download app yetu mpya DOWNLOAD 
Kikubwa kinachotafutwa na wapendanao huwa ni furaha ya moyo. Wapendanao wanapaswa kuishi kwa furaha, amani na upendo. Uhusiano wao uwe sehemu ya kudumisha urafiki, udugu na kwa pamoja muweze kuishi vizuri.
Wapendanao wanatengeneza umoja wao ambao ni wa kutiana moyo pale mambo yanapokuwa si mazuri. Wakati wa matatizo na wakati wa furaha wanakuwa pamoja, wanategemeana katika kuifanya safari yao ya hapa duniani iweze kutimia sawasawa na mpango wa Mungu.
Kwa kuzingatia hilo, kila mmoja anapaswa kuwa furaha ya mwenzake. Anapaswa kumtendea mambo mazuri ili aweze kuwa na furaha na amani muda wote. Mwanaume anapaswa kushughulikia amani na furaha ya mwanamke wake, vivyo hivyo mwanamke ashughulikie furaha na amani ya mwanaume wake. Kuna vitu ambavyo mara nyingi huwa tunaviona ni vidogo lakini kimsingi huwa vina maana kubwa sana katika suala zima la uhusiano wa kimapenzi kwa mchumba au hata hatua ya ndoa.
Vitu hivyo ni pamoja na:
Mitoko ya hapa na pale.
Mara nyingi wapendanao huwa wanajisahau sana katika suala zima la mitoko ya hapa na pale. Mara nyingi kila mtu anajua kutoka kivyake na marafiki zake.
Mwanaume anatoka kwenda hoteli au sehemu mbalimbali za burudani na rafiki zake na mwanamke naye anatoka na mashoga zake. Ndugu zangu, hata kama kweli kila mtu ana mitoko yake lakini ni vyema kujiwekea utaratibu siku moja moja wapendanao mkatoka pamoja, ina maana kubwa sana katika suala la kujenga mahusiano yenu ya kimapenzi.
Kupeana zawadi.
Lingine ni la vizawadi. Hata kama unajua kwamba mwenzako ana uwezo wa kununua kile ambacho wewe utamnunulia lakini fanya hivyo kama ishara ya upendo, inaleta maana kubwa sana katika uhusiano.
Toa kipaumbele kwa mwenzako.
Unapokuwa unawaza juu ya jambo fulani, mpe kipaumbele mwenzi wako kwa kuomba hata ushauri badala ya kuomba ushauri kwa marafiki zako, wafanyabiashara au wafanyakazi wenzako. Mwenzi wako anapoona humpi kipaumbele hususani katika masuala ya msingi, anaweza kuona ni kama unamdharau na hivyo kupunguza hamu ya kuwa na wewe.
Msaidie katika kufanya mambo mbalimbali.
Kuna wakati mwenzi wako anaweza kuwa anaweza kufanya jambo fulani lakini anapokuwa na wewe, anatamani wewe umsaidie, hilo nalo lina maana kubwa lifanye kadiri uwezavyo.
Mjali kwa hali na mali.
Hili ni la muhimu sana, unaweza kuona kama halina maana sana lakini unapokuwa unamkumbusha mwenzi wako kuhusu suala la kula au kumuamsha asubuhi awahi kazini na mambo mengine kama hayo, yanaleta chachu na hamasa kubwa katika uhusiano.
Ukiyazingatia haya yawezekana ukaona kana kwamba hii dunia mmeumbiwa watu wawili tu yaani wewe nayeye kwa sababu hatua na mtu mwingine zaidi ya huyo mwenza wako katika suala la mafanikio
Read More

Jinsi Ya Kuishi Katika Mahusiano Marefu Na Mpenzi Wako

September 01, 2019 0


Download app yetu mpya DOWNLOAD 
Kuwa katika relationship ni ngumu na pia ni rahisi. Kuna watu ambao hujaribu kuingia katika relationship lakini baada ya siku mbili tatu unaona wamekosana na mwisho kuachana. Pia utapata wengine wanakuwa katika relationship miaka mitano hata kumi na zaidi.
Hapo unaachwa na maswali yasiyokuwa na majibu ukijiuliza ni mbinu gani inayowafanya wapenzi hao wawili kudumu katika mahusiano marefu kama hayo.
Well, kama wewe umeingia katika mahusiano na unataka yawe marefu basi kuna sheria na masharti ambayo unapaswa kufuata ili kuhakikisha mahusiono yako yatakuwa marefu. Baadhi ya mambo ya kufuata na kuzingatia ni kama yafuatayo:
1. Kuwa na nafasi binafsi. Katika mahusiano, yawe mapya ama ambayo yameshamiri, lazima uwe na nafasi yako binafsi. Hii inatumika kwa yeyote ambaye hayuko single. Kama mnaishi pamoja basi unahitaji kuwa na nafasi ya kuwa kivyako. Hakikisha kuwa unameet na marafiki zako, nenda kafanye mazoezi, soma vitabu ili mradi tu unakuwa na uhuru wa kufanya mambo kivyako.
2. Chagua vitu vya kupigania. Kama mmekuwa mkiishi pamoja na mpenzi wako, kufikia sasa najua kuna mambo mengi ambayo unayajua kumhusu mpenzi wako unayoweza kuyatumia dhidi yake, jambo ambalo si zuri.
So badala ya kugombana kila wakati kuhusu mambo madogo madogo, ni bora kurudi nyuma na kufikiria ni mambo gani muhimu ambayo yanahitaji kupiganiwa.
3. Mazungumzo yaendelee kunawiri. Wengi katika mahusiano huchukulia kuwa wamekuwa katika mahusiano muda mrefu na wapenzi wao hivyo hawaoni umuhimu wowote wa kuwasiliana na wapenzi wao. Unachohitajika nikuendeleza kiwango cha mawasiliano na mpenzi wako muda wote. Usibahatishe hata mara moja.
4. Tokeni deti. Kutoka deti kuna umuhimu kwa kuwa mnapata kukumbana na mambo mapya. Mpenzi wako atafurahia kwa kuwa unaleta misisimiko mipya katika maisha yenu. Hivyo kumtoa mpenzi wako deti kuangalia sinema, mkahawa ama kwenda katika sehemu za kujipumbaza kunafungua maisha mapya kati yenu.

5. Usitarajie chochote. Ukimsapraize mpenzi wako na ua ama zawadi yoyote hupaswi kutarajia chochote kutoka kwake. Kuwa katika mahusiano hakumaanishi kuwa ukitoa unapaswa kunufaika, la. Wewe unapaswa kutoa ili umfurahishe mpenzi wako. Inaonyesha kuwa unamkubali mpenzi wako, na watafurahi katika mahusiano yenu.

6. Wewe si mtu wa kusuluhisha matatizo. Hapa ndipo wengi hukosea. Wakati umekuwa na mpenzi wako kwa muda mrefu, huwa inafikia mahali flani tunayachukulia matatizo ya wapenzi wetu kama ni yetu. Ni kweli kuwa matatizo yao kwa njia moja au nyingine yanaweza kutuathiri, lakini ukweli ni kuwa hupaswi kumsaidia. Mwache apigane na matatizo yake hadi mwisho. Wewe unachotakiwa kufanya ni kumpa sapoti tu. Ukiwa mtu wa kumtatulia matatizo yake basi unapoteza kile cheo cha kuwa mpenzi wake.

7. Gombana naye kijanja. Kugombana na mpenzi wako kwa kawaida huwa ni njia mnayofanya ili kutafuta suluhisho. Lakini wakati unapogombana naye lazima uwe mjanja. Tabia ya kumpigia kelele na kumuita majina machafu hakufai kabisa. Ukiwa mkweli na ukiongea na mpenzi wako vizuri kutatatua matatizo yenu haraka sana.

8. Heshimu mipaka yenu. Kina mtu huwa ana mipaka yake ikija katika mahusiano hivyo hakikisha unaijua mipaka ya mpenzi wako na hupaswi kuivuka. Kama utamtania basi jua kile kiwango ambacho kinahitajika na wala usipitishe.

9. Kuwa na malengo yako. Hili ni muhimu. Uko katika mahusiano lakini pia wakati huo huo wewe ni mtu binafsi. Kama unataka kuwa mtu bora basi ni lazima uwe na malengo yako katika maisha. Kufanya kazi ili utimize ndoto zako kutakufanya kuwa mtu mzuri katika mahusiano.

10. Mpenzi wako atabadilika. Ama labda anaweza asibadilike. Lakini jua na mapema ili isikuwe kama saprize kwako. Watu hubadilika na kuwa wakubwa. Hivyo ni jambo huwezi kuliepuka. Unachohitajika kufanya ni kuhakikisha kuwa unamsaport mpenzi wako wakati wa mabadiliko ya maisha ambayo atayapitia.

11. Mapenzi yatabadilika. Unaweza kukumbuka mara ya kwanza venye mapenzi yalipokuwa yamenoga. Mapenzi hubadilika. Lakini haimaanishi kuwa upendo wenu umepungua, la. Huwa ni hatua ambayo lazima uipitie katika mahusiano. Kuna wakati ambao mapenzi yanashika na wakati ambapo yanapungua pia.

12. Chekeni pamoja. Hili ni jambo muhimu katika mahusiano. Unahitajika kucheka na mpenzi wako. Kucheka pamoja huwa tamu zaidi kuliko tendo la ndoa. Kumbushaneni yale mambo ambayo mmepitia na mcheke pamoja.

13. Muamini mpenzi wako. Kufikia mwisho wa siku hakuna kitu muhimu katika mahusiano marefu kuliko kumuamini mpenzi wako. Kama huwezi kumuamini mpenzi wako basi huwezi kutumia haya mawaidha yetu hapa Nesi Mapenzi vile inavyohitajika. Kama unataka kujenga uaminifu na mpenzi wako basi lazima uwe muwazi, mkweli na mdhaifu mbele zao.
Read More