Mapenz Wakubwa: Mapenzi wakubwa

Hot

Showing posts with label Mapenzi wakubwa. Show all posts
Showing posts with label Mapenzi wakubwa. Show all posts

Thursday, December 19, 2019

MUHIMU KWA VIJANA WENZANGU

December 19, 2019 0
Image result for mwanamkeWengi itakuwa bado miaka miwili, mitatu au minne kabla ya kutimiza miaka 30. Natambua kuwa kuna waliokwisha fikisha na kuna uwezekano kuna walio nyuma kidogo. 
Kama katika umri tulionao sasa kuna mtu anakuambia wewe bado ni mdogo/mtoto, basi huyo mtu hakupendi na anakulemaza kiakili. Kua! Acha utoto! Mambo yafuatayo kwa vigezo vya kibinadamu mwenye akili timamu, mtu mwerevu lazima uwe ushayatimiza. 


1) Kuweka misingi ya kifamilia: 
Katika umri huo unatakiwa uwe umeoa, umechumbia au uko katika uhusiano wenye kueleweka unaelekea kwenye kujenga familia. Kama katika umri huu bado unabadilisha wanawake na kudandia vicheche, basi sahau kuwa na familia imara. Mambo yafuatayo yatakuwa yanakunyemelea;
– Kuoa/kuolewa msichana/mvulana mdogo sana ambaye atakuona unamzeesha
– Kuoa /kuolewa chapchap bila kuwaza
-Kuokoteza magonjwa ya hatari
– Kunogewa na usela na kusahau kuoa/kuolewa 
2)Kujitegemea kiuchumi: 
Hapa simaanishi kufanya kazi na kupata mshahara pekee, la hasha! Hapa nalenga wale watoto wa mama ambao pamoja na kuwa wana kazi na mishahara, bado wanalalama mishahara haitoshi na kukimbilia kuomba hela nyumbani wanapoishiwa mara kwa mara. Wale ambao bado wanakaa nyumbani hii inawahusu pia. Pia wale wanaotumia 100% ya mishahara kununua vitu vinavyoisha (consumption) wakingoja wapate hela nyingi au wazazi, ndugu na jamaa wawasaidie kwenye uwekezaji. Africa tunachelewa sana kwenye hii sector. 
3) Kuwa na kitega uchumi: 
Kama unadhani mshahara wako wa milioni kadhaa ni mwingi sana, ngoja augue mtu wa karibu au wewe mwenyewe halafu daktari akuambie mgonjwa wako/wewe ana/unatakiwa ape/upelekwe nje ya nchi kwa matibabu zaidi wakati huna bima ya afya inayolipia hilo ndo utajijua kama mshahara wako heshima yake inaishia samaki samaki au inavuka border. Kitega uchumi si lazima uwe na mkampuni mkubwa, la hasha! Ila uwe na kitu cha kueleweka na chenye malengo ya kukua kuwa kitu cha maana. Kwa wale wagumu kuelewa, UNATAKIWA UWE NA PATO LA PEMBENI NJE YA MSHAHARA. 
4) Makazi: 
Uwe hata na kiwanja hapo Bunju Arif! Huezi kunywa bia kila weekend halafu wenzio wakiongelea issues za nyumba/viwanja/mashamba yao unakimbilia kubadilisha mada (Eti Huyu LVG wamuondoe kabisa anaharibu timu). Kumbe unazuga kupotezea story za viwanja/nyumba. 
5)Uwe na professional qualification 
: ACCA,CPA,CFA,CSIA,CPB, LAW SCHOOL ETC wale wa procurement wana ya kwao n.k. Ikifika huu umri kama CPA imekataa, tafuta hata mitihani za marketing upige, CPA sio issue zako. Lazima uwe na defined career (Kama hukubahatika kwenda kidato kingi, uwe na namna ya halali na ya kudumu ya kukupatia kipato). Umri huu kama huna utaalam katika fani yako, jiandae kuwa frustrated ofisini. Madogo wanasoma jamaa angu! Halafu wako tayari kupewa salary ndogo wapige kazi kuliko wewe.. So take care! 
6) Uwe ushaamua ka hicho kitambi unakiondoa au unakilea: 
Hapa sichekeshi! Kitambi kina madhara mengi. Suruali haikai vizuri, UTAPIGIWA, Kisukari, pressure n.k. Ukikinyamazia muda huu jua kitakuwa kishakomaa na majukumu yatakuwa mlima. Ukikiachia kijiamulie, kitakuganda kama “roba ya mbao” till death does you apart! Kama unakipenda endelea nacho, kama hukipendi uwe ushaweka program ya kukiondoa. 
7)Uwezo wa kusaidia wanaokutegemea: 
Kama we ni wa kishua, hapa hapakuhusu. Wewe ambaye si wa kishua, wazazi walikuwa na mategemeo flani walipokuwa wanakusomesha. Kama umefika miaka 30 hujaanza kuyatimiza mategemeo yao bila sababu ya msingi, jua watakuwa washakata tamaa na wewe. 
8) Uwe na busara. 
Kuwa mtu wa kufikiri kabla ya kutenda. Tengeneza haiba nzuri na ya kuheshimika kwa wanaokuzunguka. Kama huna busara hadi umri huu basi we sahau suala la busara ukiwa hai.. Labda utakutana nayo akhera.! 
9) Savings: 
Hapa nimeweka kizungu kuonyesha msisitizo. Kila mtu ana kipato chake. Ila formula ni kwamba angalau uwe ushahifadhi fedha sawa na mishahara yako ya mwaka na nusu gross of Tax kwa kipindi hicho. Kwa wale wagumu kuelewa namaanisha Ukiacha kazi au kusimamishwa kazi, uwe na uwezo wa kukaa mwaka na nusu bila kuingiza kitu chochote lakini uendelee kuishi maisha yale yale. 
10) Umjue Mungu: 
Nimeliweka hili mwisho si kwamba ni la mwisho kwa umuhimu, La hasha! Ni ili ulikumbuke zaidi. Mjue Mungu, mpende na umuogope. Nenda ibadani, soma neno lake na umuombe. Uwe na desturi ya kusali nyumbani kwako angalau kila unapoamka na wakati wa kulala. Kama humuogopi Mungu katika umri huu, basi wewe kwenda Mbinguni ni ngumu kuliko ngamia kupenya tundu la sindani (hata kama ni masikini)


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI

Read More

TAMBUA UMUHIMU WA MAPENZI NA JINSI YA KUULINDA KATIKA MAHUSIANO

December 19, 2019 0
Related imageKuna sababu za msingi kabisa kuelezea mambo ya kuzingatia ili kutambua vitu vitakavyokufanya ufurahie utamu wa ndoa yako. Kuishi na mke au mume sii kitu rahisi kama ambavyo watu wengi ambao hawako katika ndoa hufikiria. Hivi ni vipengere baadhi tu, wanandoa na wampenzi wanapaswa kuvitambua;

Kwanza kabisa ni kwambie kwamba utamu wa mapenzi sii lazima ufanye tendo la ndoa ama ngono, kuna mambo kibao ambayo moyo wa binadamu ukiyakosa huweza kukonda kama muathirika wa magonjwa hatari ya mwili. #"Upendo kutoka kwa yule umpendae", hili ndilo jambo kubwa la kwanza katika afya ya moyo ulio katika dimbwi la mapenzi.

Hakuna kitu kitamu kama kupendwa na ukapenda pia, kitendo hiki hufunga macho yote ya vishawishi vya dunia hii ya kidigitali. Usilazimishe upendo kwa mtu ambae unaonekana kuwa wewe tu ndiye unaye mjali wakati yeye hana habari na wewe. Ndio maana ukitaka kuingia katika ndoa lazima umtafute mtu unayempenda na anayekupenda ili muishi katika maisha yasiyo ya kushawishika kufuata matamanio mengine nje ya ndoa.

Kitu cha pili katika kufurahia utamu wa penzi ni #"amani" watu wengi wana wanaume na wanawake warembo, lakini hawafurahii mapenzi kwasababu hawana amani ndani ya nyumba. Utafurahia utamu wa mahusiano ya ndoa endapo utakuwa na moyo uliopondeka mbele za Mwenyezi Mungu, yani kuvumiliana katika changamoto za maisha.

Wapo watu wao ni maarufu kwa kuharibu mahusiano ya watu "tofauti na ndugu yako wa karibu" hakuna mtu anayefurahia kukuona unamwanamke mrembo ndani ya nyumba au mwanaume mtanashati ndani ya nyumba, na kwambia hili, jifunze kutunza siri za uzuri wa mkeo au mmeo. Kunawatu wanavitaka vitu hivi sana hata kwa gharama yoyote ile na popote vitakapopatikana vitanakuwa halali yao.

Kama mpenzi wako anakupa penzi tamu na la kistaarabu, basi haina haja ya kumueleza rafiki yako maana hujui yeye anakosa nini katika mahusiano yake na mwenzi wake. Pesa ni silaha kubwa sana katika mapenzi haya ya kizazi cha digitali, pesa zimekuwa na ushawishi mkubwa sana katika mapenzi hivyo unapaswa kuwa msiri katika mambo yako ya chumbani.

Cha msingi zaidi, hakuna mtu anayefurahi kusalitiwa katika mapenzi, kila mtu anatamani kummiriki mwenzi wake asipate wazo la kutoka nje ya mahusiano. Tunajua kabisa dunia hii kila siku tunakutana na wasichana warembo kabisa na pia tunakutana na wanaume watanashati sii kidogo, lakini kitu cha msingi ni kuyashinda macho na kuamini #"UKIONA VYAELEA UJUE............?



Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI

Read More

SAUTI INA RAHA YAKE KATIKA MAPENZI

December 19, 2019 0

Related image

Sauti Siku Zote Ina Maana Kubwa Sana Katika Mtiririko Wa Wewe Kujua Mwenzako Ana Maanisha Nini.Sauti Vilevile Inaweza Kukupa Picha Ya Mzungumzaji Jinsi Alivyo Kutegemeana Na Ongea Yake.Sauti Huwezesha Lugha Yako Unayoiwasilisha Kueleweka Vizuri Kwa Msikilizaji Endapo Utaitumia Ipasavyo.

Je wajua sauti ya mtu kwa harakaharaka inamtambulishaje kwa msikilizaji?
 Mpole
 Mkali
 Hekima na busara au
 Hasira

Linapokuja suala la mahusiano,ni vizuri uzingatie matumizi ya sauti kutegemeana na muda na hali Fulani ya maongezi.

Pale  mnapokoseana, ni vizuri ukatumia sauti yako kumshusha mwingine ili muweze kufikia muafaka.Ukiendeleza sauti ya ukali hatakama haumaanishi kubishana, si rahisi kufikia muafaka sanasana mtaishilia kuchukizana zaidi.

Sauti hutumika katika kubembeleza ,yale mahadhi yakupanda na kushuka kwa sauti yako humjengea mtu hisia na ladha Fulani tofauti na unapokua katika maongezi ya kawaida au ya wewe na rafiki yako.

Unapokua na mpenzio hakikisha unatumia sauti yako ipasavyo katika kunakshi maongezi yenu na kuyafanya yawape furaha nakuwa na hamasa zaidi ya muendelezo wa mazungumzo au shughuli nyingine bila kuchoka.
Siimaanishi uige sauti ya Fulani,hapana.Bali kuwa mbunifu wa utumiaji wa sauti yako.

Kuwa miongoni ya wale ambao wanapendwa kusikilizwa na wapenzi wao,sio kwa ajili ya mapenzi ya dhati tu ,bali kwa jinsi wanavyoteka nafsi ya mwenziwe kwa matumizi mazuri ya sauti yanayoipamba lugha na maongezi kwa ujumla.

Nadhani ulishawahi sikia mtu anasifiwa kwa jinsi anavyoongea au umewahi kumsikia wewe binafsi na akakufanya uvutiwe na ile hali.Jua unavyopangilia sauti yako ipasavyo kutokana na mazingira na aina ya mazungumzo unapokua na mpenzi wako; unamvutia (draw attention) na ni rahisi kwa yeye kukusikiliza and act accordingly….Una maoni yako juu ya sauti?…tupia hapa


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI

Read More

Wednesday, December 18, 2019

ANZISHA MAHUSIANO MAPYA IKIWA MOYO WAKO HAUNA DOWA LOLOTE

December 18, 2019 0

Si lazima uwe kwenye uhusiano muda wote, ukiona mambo hayajakaa vizuri usiyalazimishe.

Kabla haujaanza uhusiano mwingine, ebu JIULIZE ni kitu gani umejifunza Katika uhusiano wako uliopita.

Kuna msemo usemao KUJUA chanzo cha tatizo ni Nusu ya KUTATUA Tatizo, Je umefahamu tatizo lilofanya uhusiano wako wa 1, 2 na 3 kuvunjika? Ulishawahi kukaa chini kujiuliza? Ulipata majibu gani?

Usiingie kwenye uhusiano mpya kabla haujapona MAJERAHA ya uhusiano uliopita, Kujipa muda kuwa peke yako ni TIBA tosha.

Usiingie kwenye uhusiano mpya ili kumkomoa X wako, Isije ukajikomoa mwenyewe.

Usiingie kwenye uhusiano mpya ili kupoza moyo wako isije ukawa unazidisha Kidonda,

Usiingie kwenye uhusiano mpya ili kuondoa upweke, isije ukauzidisha huo upweke.

Usiingie kwenye uhusiano mpya ukitegemea kumpata mtu BORA kuliko X wako, isije ukawa unaruka Mkojo, unakanyaga.........?

Usiwe kama Nyani kuruka-ruka kwenye miti, mara tawi hili, mara tawi lile. Lakin pamoja na uhodari wote wa Nyani wa kuruka kwenye miti lakini kama siku ya KUFA imefika, miti yote HUTELEZA.

SI LAZIMA MUDA WOTE UWE KWENYE UHUSIANO, JIPE MUDA KUWA PEKE YAKO, CHUKUA LIKIZO YA MAPENZI.

"MOYO ULIOJERUHIWA, HUJERUHI, MOYO ULIOPENDWA HUPENDA "



Read More

MIKAO JUU YA SITA KWA SITA

December 18, 2019 0
Kwenye mapenzi kila mtu ataman kumuona mpenzi wake akiwa amefurahia penzi lake
zifahamu aina za mikao ya kumpagawisha mpenzi wako
1).69
huu ni mkao kwa wale wapenzi wanaopenda kunyonyana sehem zao za siri,
na ntindo huu hufanyika kwa mwanaume kulala chali na kisha mwanamke kuja Kwa juu
na pia wote mnaweza kulala kiubavu ubavu ila kwa kua kama namba 69 ya kichwa kuelekea upande wa miguu na kila mmoja akiwa anamnyonya mwenzake
2).71
mkao huu unafanyika wote mnakua mmekanyaga chini
mwanamke anainama na kushika ukingo wa kitanda, meza, kiti n.k
na mwanamme abaki na kusimama kwa nyuma ili aweze kujibalanz aliwa anshughulkika
3).MBUZI KAGOMA KWENDA
Mtindo huu mwanamke itabid alale kifudifudi na kuinua kiuno chake juu huku akuegemea magoti na viwiko vya mikono
miguu yake akiwa ameiachanisha na kurudi chini kwa kufuata usawa wa mwanaume na mwanaume awe kwa nyuma
4).JIHUKUMU MWENYEWE (mkuna nazi)
mtindo huu ni ule wa mwanaume kulala chali na mwanamke kuha juu yake kwaajr ya kujalia bakora ajichape mwenyewe
5).KIFO CHA MENDE
Mtindo huu niwakawaida na rahia sana kwa kufanya
mwanamke atalala chali na mwanaume kuja juu yake,ila inategemea eidha awe amwchanua miguu,au ameibanansha au kuikunja kwa kuieudisha nyuma kichwa
6).CHUMA MBOGA (cheza bila kukunja goti)
mtindo huu wamaume wengi wanaupenda kwakua unawafikisha vizur
mtindo huu mwanaume husimama nyuma ya mwanamke alyeinama na kuregemea mikono kujizuia asidondoke
mkao huu humchosha sanq mwanamke miguu lakin pia humkuna haswa!
7).DOGGY STYLE
hii ni kama ile ya mbuzi kagoma kwenda lakini tofaut mdogo tu, mwanamke hupga magoti na kuinama akitegemea mikono kujizuia, na mwanaume kupiga magot pia na kushika kiuno kwaajir ya kujizuia
8).MDUARA
Mtindo huu mwanamke analala ki ubavu na kuikunja miguu yake kuanzia kiunon na kuilekeza mbele, mwanaume atakua nyuma yke sehemu ya kiuno na atakua na nafas nzur ya kushughulika
9).KIPAJA CHA KUKU
mtindo huu wote mnalala kiubavu ubavu na kuelekeana, mkono mmoja wa mwaume utashika mguu wa mwanamke nq kuunyanyua kisha anajiegemeza ktkt yq miguu ya mwanamke huku mkono wake mwingine ukiendelea nq shughul ndogondogo sa kuzid kumpagawisha


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI

Read More

NGUO SAHIHI ZA KUVAA CHUMBANI UNAPOKUWA NA MPENZI WAKO

December 18, 2019 0
Mapenzi ni hisia,na hisia hizo huwa kwa wote yaani kwa wanaume pamoja na wanawake,baadhi ya walio kwenye uhusiano huwalalamikia sana wenzi wao na sababu kuu huwa ni kutokuwa na hamu ya kufanya nao tendo la ndoa.Hapa nitazungumzia mavazi yanayopaswa kuvaliwa chumbani hasa mnapokuwa wawili tu yaani mke na mume..

Mwanaume siku zote huwa na hisia za haraka sana hasa ukimjulia,lakini baadhi ya wanawake huwa wanashindwa kuzijua haraka mbinu za kumpandisha mzuka mumewe hata kama amechoka au ana hasira kwa siku hiyo…Ndugu yangu uchawi rahisi kwa mumeo ni kumvalia nguo nyepesi na yenye kuonyesha maumbile yako kamili,hii inaweza kuwa gauni nyepesi inayoonyesha maumbile yako ama siku hizi kuna mitandio milaini ambayo pia unaweza kuivaa pindi unapokuwa na mwenzi wako,ikumbukwe pia wanaume wengi hupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kwa kukosa hisia za kufanya tendo hilo lakini wanawake ni dawa nzuri ya tatizo hilo ikiwa ataweza kumuhamasisha mumewe kwa njia mbalimbali ikiwemo ya vazi ambalo litamfanya mzee asisimke


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI


Read More

Tuesday, December 17, 2019

ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WANAWAKE KUVAA NUSU UCHI

December 17, 2019 0

Wengi hudhani wanawake wengi wanaovaa nguo zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili(nusu uchi) huwa wanajiuza. Ukweli ni kuwa hiyo ni sababu mojawapo. 
Wanawake wa kundi hili huvaa nguo zinazoonesha mapaja, kuta za matiti, mgongo au kitovu wakiamini huwavutia wanaume na watawatongoza na kufanya biashara yao ya ngono. 
Lakini kuna sababu KUU 
Sababu ni kuwa wengi huwa wanavaa vijinguo hivyo ili kuficha udhaifu wa maumbile yao. 
-Mathalani msichana huyo yeye mwenyewe akadhani na kuamini kuwa ana sura mbaya, hivyo suluhu yake ya kuficha udhaifu huo ni kuvaa nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wazi ili kutoa ujumbe kuwa "japo nina sura mbaya lakini miguu, tumbo, au matiti yangu mazuri". Lengo ni kuonesha kuwa japo ana sura mbaya lakini ana sehemu nyingine nzuri na zinazovutia. 
-Au labla binti mzuri wa sura na natural color, lakini hajaolewa. Naye anaweza kuvaa nusu uchi ili kuleta ujumbe kuwa "japo sijaolewa lakini mimi ni mzuri wa sura na viungo vyangu vingine" ili tu kuwavutia wanaume aidha wasione udhaifu wake wa kutoolewa na/au atongozwe. 

-Kuna kundi la mwisho wao huvaa nusu uchi kwa vile tu labla anaona rafiki zake wanavaa nguo fupi na wanaambizana wanapendeza. Mfano: binti yuko chuo na akaona wenzio wanavaa nguo fupi na kila mmoja wao akivaa nguo fupi anaambiwa "UMEPENDEZA" hakika hapo binti hujikuta anatafuta vijinguo vya ajabu ili afanane na wenzio "waliopendeza". 
Watu hudhani kuwa mavazi huwasilisha tabia. Mfano binti akivaa nusu uchi basi huwa malaya, ukweli ni kuwa mabinti wengi huamini kwa kuvaa nusu uchi watakuwa wameficha udhaifu wao na watakuwa wametoa ujumbe kuwa "kama sina sura nina hiki kizuri". 
Chukulia utafiti wa haraka mabinti wengi wenye makalio makubwa huwa na watu huamini wana sura mbaya, kwa kuonesha kuwa wao hawajakosa vyote huvaa suruali za kubana au sketi fupi ili "shughuli" ionekane nyuma. 
ya wanawake wengi kuvaa nguo za nusu uchi.Kanuni Kumi '10' za Kuwa Mke Mwema Katika Ndoa 

UHALISI WA MAISHA: 
Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; 

UVUMILIVU: 
Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbali mbali yasiyotuvutia katika mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume kabisa na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe kama mwanamke shujaa inapotokea umekutana na mambo kama haya hupaswi kuonyesha hasira zako wazi wazi kama vile; chuki, kulaumu, ugomvi, vurugu, malalamiko, manung’uniko, machafuko, kulipa kisasi au aina yoyote ya uharibifu kutokea kwako au ndani mwako. Hivyo mwanamke shujaa huwa ni heri kila anapokuwa kwani hutunza amani ya eneo alipo. 

UPENDO WA DHATI: 
Maisha ya upendo wa halisi na sio wa kinafki kwa jamii inayomzunguka. Tabia ya upendo wa halisi ina thamani kubwa sana kuliko mali nyingi, pesa, elimu ya juu n.k. wewe unaweza kabisa kuwa na elimu ya juu sana na pesa nyingi sana lakini pasipo upendo wa halisi ni sawa na kusema kopo zuri kwa nje na ndani hamna kitu. Nguzo kuu ya maisha ya mwanamke shujaa ni Upendo wa dhati na uhalisia. 

UTII KWA KWA JAMII: 
Maisha halisi ya utii katika jamii inayokuzunguka  ili kuweza kuyafanyia kazi yale yote uliyojifunza na pia kuyatenda kwa ufasaha pasipo kupita kona yoyote. Utii  kwa jamii ni ufunguo mmoja wapo utakaokusaidia kufanikisha mambo yako na malengo yako kama mwanamke shujaa.

UAMINIFU KATIKA JAMII: 
Kuishi maisha ya uaminifu wa kweli na uhalisia katika jamii inayomzunguka. Uaminifu wa kweli huonekana nyakati zote na siyo tu wakati mtu anapokuwa mbele za watu wanaomjua bali hata wale wasiomjua na hata anapokuwa mahali peke yake aweze kutunza uaminifu wake kwa faida ya jamii nzima. Mwanamke shujaa hujitahidi sana kutunza uaminifu wake katika sekta zote. 

UNYENYEKEVU WA KWELI: 
Kuishi maisha halisi kabisa ya unyenyekevu kwa jamii inayomzunguka, unyenyekevu ni kinyume kabisa na kiburi, majivuno, kujigamba, kujikweza, kujiinua, kujiona,na hata kjitanguliza mbele kwa kila jambo. Mwanamke shujaa huwa ni mnyenyekevu wakati wote na hana makuu daima. 

UWAJIBIKAJI WA DHATI: 
Maisha halisi ya uwajibikaji akiangalia majukumu yake yote yanayomkabili na kuhakikisha anafanya kwa moyo bila kuwa na tabia ya kusaidiwa majukumu yake. Mwanamke shujaa ni mfano wa kuigwa kutokana na uwajibikaji wake. 

USHIRIKIANO WA DHATI: 
Ushirikiano katika jamii inayomzunguka. Sisi wanawake mashujaa yatupasa kujua dhahiri kuwa kazi ya kubadili tabia na kufanya wengine wabadilike kwa lengo la kupata familia bora ni lazima kuwa na ushirikiano wa kweli ambao utajenga tabia ya kuaminiana na kunai mamoja katika harakati hizi za kuandaa/ kujenga familia bora. 

UTARATIBU WA KAZI/MPANGILIO: 
Katika utaratibu wa maisha yake, pamoja na mpangilio mzuri wa mambo yanayomzunguka hii itakusaidia kuwa na muda mzuri wa kufanya shughuli zako na pia kutekeleza majukumu yako ya kila siku kama mwanamke shujaa. Hakuna njia yoyote ya kukuwezesha kukua na kuendelea katika maisha yako bila kuwa na utaratibu na mpangilio wa mambo yako. 

KUFANYA TATHIMINI: 
Kuweza kufanya tathimini ya yale yote anayoyafanya katika maisha yake ya kila siku, pengine ni mfanyabiashara, mfanyakazi, mkulima n.k kama mwanamke shujaa yakupasa kutathimini shughuli zako kama zina leta faida/hasara kwa familia na jamii yako inayokuzunguka. Ukiona faida ni kubwa unaendelea na hiyo shughuli lakini kama hasara ni kubwa unajiweka katika nafasi ya kubadilisha aina ya shughuli mara moja bila kupoteza wakati.

Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI

Read More

WANAWAKE WENYE HIPS NA SHIDA WANAZOKABILIANA NAZO

December 17, 2019 0
1. Kwa kuwa huwa wanavutia sana ni rahisi kurubuniwa kwani mwanamke yeye duniani hawezi kutongozwa watu elfu 2000 asimpende mmojawapo. 

2. Hawana raha kwani ukodolewa sana macho na watu, si wanawake wala wanaume. 

3. Upata magonjwa sana hasa fangasi kwani sehemu zao za siri hazipati hewa ya kutosha kufatana na kubanana kwa nyama na msuguano kila watembeapo. 

4. Wana gharama sana kuwatunza kwa sababu hawatakiwi kutembea kwa muda mrefu kuogopa msuguana hivyo umuoapo ni lazima ughalimike usafiri au unatakiwa kumunulia skin taiti kila mara kwa kuwa zinahariibika muda mfupi sehemu ya mapaja.

Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI

Read More

UKIINGIA KWENYE NDOA NA MWENYE SIFA HIZI HUWEZI KUJUTA

December 17, 2019 0
Mara nyingi tunapofikiria namna ya kumpata mwenza sahihi, huwa tunaangalia ishu ya kumpata yule mwenye mapenzi ya dhati lakini kumjua anayekupenda kwa dhati, anayeweza kukupatia kile ulichokitarajia ni vigumu sana. 

Ndiyo maana hapa chini nimekupa vigezo saba vya mtu ambaye anakupenda kwa dhati na anafaa kuwa mwenza wako endapo mtakuwa tayari mmeshaanzisha uhusiano wa kawaida. 

MGUSO WA HISIA 

Hakika mapenzi ni mguso wa hisia, kwa maana hiyo kigezo kikuu cha kuzingatia kwa mtu anayestahili kuwa mwenzi wako wa ndoa ni vile ambavyo hisia zake umeziteka. Hali kadhalika na wewe mwenyewe ulivyotekwa naye. 

Amani na furaha vikitawala kati yenu unajiona upo huru kwa kila kitu na mnapokuwa hamuelewani kila kitu kwenye akili yako unaona hakiendi. Vivyo hivyo na yeye kwamba amani ipo pale mnaelewana na inatoweka mnapokosana. Huyo ni wazi mnaendana. 

KUTOSHEKA 

Ukiwa naye unajisikiaje? Umetosheka eeh? Akiwa mbali inakuaje, unahisi kuna upungufu mkubwa? Vipi na yeye anajiona hivyohivyo? Kama jibu ni ndiyo maana yake mnaendana kwa sababu ukamili wako unamtegemea yeye, hali kadhalika na yeye.

Anakata kiu yako yote? Na upande wake inakuaje? Ikiwa ni hivyo, basi anatosha kuwa mwenzi wako wa maisha. 

MALENGO 

Kila mtu anapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi, lengo lake huwa ni kudumu. Achana na hulka za viruka njia. Pointi hii inakujenga kujua matarajio ya mwenzako kuhusu wewe. Anakuhitaji kwa maisha yake yote au yupo na wewe kwa sababu hana pa kwenda? 

Wengi wapo kwenye majuto kwa sababu waliingia kwenye ndoa na watu ambao hawakuwa na nia ya dhati nao, bali walijichanganya baada ya kukosa uelekeo. 

ISHU YA MAWASILIANO 

Anapenda kuwasiliana na wewe, ukimtumia SMS anaijibu ‘fasta’. Hatengenezi sababu ya kutowasiliana na wewe, daima anaona njia pekee ya kuwaweka karibu hata kama mpo mbali ni kuwasiliana. Nawe unampigia simu kwa wakati, unasikia raha kupokea ujumbe wake naye anaona fahari kupigiwa simu na wewe. 

Kama hali hiyo ipo, basi upendo wa kweli upo na hiyo inatosha kuthibitisha kwamba mnaendana. Ukituma SMS naye akachelewa kujibu ni wazi haoni umuhimu wako. 

NI WA SHIDA NA RAHA 

Hapa ni hisia tu, ikiwa mnapendana kwa dhati basi akiumia nawe yatakuwa ni maumivu yako. Ikiwa hauna raha halafu yeye ni mwenye furaha basi huyo anakupenda kinafiki. Hatofautiani na yule anayebembeleza ndoa ili kuondoa mkosi. Kuwa makini, hakikisha unakuwa na mtu ambaye ni wa shida na raha. 

ANAJUTA NA KUOMBA MSAMAHA 

Mpenzi bora ni yule anayejutia kosa pale anapokukosea, pia anaomba msamaha. Hapa ieleweke kuwa kuomba msamaha peke yake haitoshi, isipokuwa anapaswa kuonesha wazi kwamba ametambua makosa yake na amejuta. 

Kimsingi mtu mwenye sifa hiyo huwa hasumbui mnapokuwa ndani. Epuka mtu mbishi, anakosea na hatambui kosa lake na badala yake anajenga hoja. 

HAYUKO TAYARI KUKUKOSA 

Mnagombana anaumia lakini bado yupo na wewe. Anakuonesha waziwazi kuwa hayupo tayari kuachana nawe. Yupo radhi kutumia muda mwingi kutafuta suluhu ili muendelee kuwa pamoja. Hiyo inaonesha kuwa anakupenda kwa moyo mmoja. 

Mtu mwenye moyo mgumu, mnagombana wala hashtuki na hatengenezi mazingira ya kurudiana, maana yake hana hisia za kweli, na anavyokuchukulia ni kwamba hata mkiachana yeye anaona sawa. 

JIANGALIE NA WEWE! 

Umeangalia yote hayo, sasa jiangalie na wewe mwenyewe. Moyo wako unakusukuma kuwa na yeye? Hilo ndilo swali la msingi kwa sababu mapenzi hayataki majaribio, ukiingia ndiyo imetoka. Yanini kujipa kumbukumbu mbaya baadaye? 

Maisha bora au mabaya ya baadaye yanatokana na uamuzi wa leo, mwenzi sahihi wa maisha ni mbolea ya furaha ya kudumu baadaye. Kwa hiyo kabla hujaingia kwenye uhusiano wa ndoa ni vema kujiuliza mara mbilimbili.


Read More