Mapenz Wakubwa: Uwanja wa mapenz

Hot

Showing posts with label Uwanja wa mapenz. Show all posts
Showing posts with label Uwanja wa mapenz. Show all posts

Tuesday, January 21, 2020

Ulishajiuliza Unapenda Nini Kwa Mpenzi Wako?

January 21, 2020 0
Leo kwenye safu hii nimekuja tuongelee suala hili la wapenzi kupendana na kufikia kuwa mwili mmoja je, umewahi kujiuliza maswali kuhusiana na mwenza wako? Maswali haya yanawahusu wote.
Related image
Mnatafuta nini ndani ya wenza wenu ni kitu gani mnaangalia/mnakiona ndani ya mtu unayeamua kuwa naye kama mchumba/mume/mke. Je, ni macho yake au tabasamu, ama ni muonekano wake, uchangamfu au upole, ni kitu gani unachokiona ndani ya mtu kinachokuvutia. Wengine wanavutiwa jinsi mtu anavyofikiria, au mwili wake, wewe je?

Unaweza ukawa umevutiwa na kitu kimojawapo, lakini unajua uhusiano mzuri haujengwi na vitu hivi tu, kuwa na uhusiano mzuri na mwenza wako inahusisha vitu vingi sana tofauti na tabasamu lake iwe unatafuta mtu wa kuwa naye au kama tayari upo katika uhusiano hakikisha mnakubaliana vitu muhimu ambavyo mkividharau kisa umempenda kwa sababu ya shepu yake au ucheshi wake vinaweza kuharibu uhusiano huko mbele ambapo ni pagumu zaidi.
Vitu unavyotakiwa kuangalia zaidi

Hivi ni baadhi ya vitu unavyotakiwa kuangalia ndani ya mwenza wako kama unataka uhusiano mzuri na kama kweli atakuwa mke au mume, epuka kuangalia vitu vya awali kama hivyo nilivyovitaja hapo.

Anakupa heshima yako, haijalishi kama yeye ni mkubwa kwako, na hapa heshima siyo salamu kama wengi mnavyodhani.

Anaheshimu maamuzi yako, kama ni katika kazi au kitu unachoamua kufanya na siyo kukucheka au kukudharau.

Hakukatishi tamaa anakuunga mkono kwenye kila jambo na kukupa moyo wa kushinda kila wakati.
Hakasiriki ukijipa muda na marafiki au familia yako, unatakiwa kuwa na uhuru wa kujichanganya na watu wengine siyo yeye tu.
Anasikiliza mawazo yako na kukushauri

Mnashea vitu unavyovipenda kama vile kuangalia muvi, aina ya muziki, kucheza. Angalau muwe na kitu kimoja ambacho wote mnapenda ili muwe na kitu cha kufanya pamoja, vitu vingine mnaweza kutofa-utiana haina shida kwa sababu hata mapacha waliozaliwa pamoja kuna wakati huwa wanato-fautiana lakini iwe kuna kitu mnaendana ambacho mtashiriki pamoja.

Mpenzi huyo asiwe mkaidi kwa kila kitu unachomwambia, hii inawahusu wapenzi wote si wanaume ama wanawake tu.

Awe anaheshimu mipaka yako, siyo atake kujua kila kitu chako kama vile kukagua simu au wapi unapokuwa saa 24, kama mpo katika uhusiano mnatakiwa mheshimiane maana mwanzo wa kufuatiliana saa zote ndiyo mwanzo wa ugomvi usiyoisha.

Asiogope kukuambia anavyojihisi, hii itawasaidia hata pale mtakapokuwa na matatizo ili muweze kusuluhisha mambo yenu, itawaondoa kwenye hali ya kila mtu kumuwekea mwenzake kinyongo.

Kumbuka uhusiano unahusisha watu wawili, wewe na patna wako muwe na usemi ndani ya uhusiano wenu na msiogope kuambiana mnachohisi na kusikilizana pia.

Ndani ya kila uhusiano kuna kugombana, hiki ni kitu cha kawaida kabisa. Wale mnaowaona wana furaha katika uhusiano wao wameweza kujua jinsi ya kuyamaliza matatizo yao.

Usimpende mtu kwa sura, fedha, uvaaji wake bali iwe kwa mapenzi ya dhati.

Read More

Saturday, December 28, 2019

SABABU 5 KWANINI UPENDO HAUTOSHI KUJENGA MAHUSIANO BORA!

December 28, 2019 0
Related image


Ukisoma kwa kutafakari makala hii utagundua kuwa kuweza kujifahamu sisi wenyewe vema, kuweza kujitawala sisi wenyewe, na pia kuweza ‘kuwasoma’ vema wenzi wetu , ni mambo ya msingi sana ili upendo tulionao uweze kudumisha mahusiano.  Msisitizo ni kwamba, pamoja na ukweli kuwa upendo ni kitu cha muhimu katika mahusiano, makala hii inaeleza kuwa kutegemea upendo pekee kama nguzo kuu ya mahusiano bora kunaweza kuwa jambo la hatari kwa mahusiano, kwa sababu zifuatazo:- 
1. Binadamu ni kiumbe huru: Ni muhimu kukumbuka hili hasa kama unadhani kwakuwa unampenda fulani na umemuonyesha mapenzi yako yote basi hicho ni kama kifungo kwake kuwa hatoweza kutoka katika penzi lenu. Kwa asili binadamu ni huru, na anaweza kuamua kuutumia uhuru wake kufanya maamuzi mengine yoyote tofauti na unavyofikiri ni lazima afanye.  Kwa kuwa pia ni mbinafsi, basi kama upendo wako wote kwake hauendani na yale anayotazamia , unaweza kukuta ameshindwa kukaa katika penzi , ambalo kwa watu wengi wanaona kuwa ni penzi zito.
2. Binadamu ni mbinafsi kwa asili: Binadamu kwa asili huangalia maslahi yake kwanza kabla ya kuangalia ya mwingine. Mfano dhahiri wa ubinafsi huu ni pale inapotokea ajali , mara nyingi mtu huwaza kujiokoa mwenyewe kwanza kabla ya kufikiria wa karibu yake. Tumesikia habari za mama mzazi kuacha kitoto kichanga ndani wakati moto ukiendelea na yeye kutoka nje. Kuna habari pia za mama kumtumia mtoto wake kama ‘kifaa’ cha kuvunjia kioo cha gari , ili aweze kujiokoa, pale ambapo ajali ilitokea. Hivyo upendo tuu pekee hautoshi kumfanya mtu aendelee kukaa katika ndoa au mahusiano kabla ya ndoa (uchumba), ni muhimu yawepo mambo mengine yenye manufaa kwa mtu husika.
3. Binadamu ana mahitaji mengi  na yasiyo na kikomo:  Mwenza wako ana mahitaji mengi na yanaongezeka na kubadilika siku hadi siku kutegemeana na mabadiliko mbalimbali kama vile hali ya hewa, aina ya kazi,  watu anaokutana nao, mabadiliko ya teknolojia, mabadiliko ya kiuchumi n.k. Upendo wenu, hausimamishi mahitaji haya yasitokee, na kwamba upendo pekee hauwezi kuwa jibu la kutimiza mahitaji hayo. Inahitajika bidii katika kujituma kujiletea kipato, kuwa na mawasiliano bora kati yenu, kutambua mabadiliko na kuchukua hatua kabla mabadiliko hayajawabidilisha, na zaidi sana muweze kuwa na utamaduni wa kupanga mambo pamoja na kuwa waaminifu katika kutimiza yale mnayopanga. 
Chukulia mfano, wa wanandoa walioishi vema kwa miaka 5 ya ndoa, halafu ndoa ikaanza kulemaa kwa kuwa mmoja wao anaona hakuna uwajibikaji katika kumsaidia mwengine kujiendeleza kielimu, kibiashara, au kutimiza ndoto nyingine ambayo mwanandoa amekuwa nayo.
4. Binadamu wengi wanashindwa kujitawala:  Uwezo wa mtu kujitawala unaweza ukakinzana na upendo wake kwa mwenza wake, hivyo kuleta hali ya kutoridhika kwa mwenzi wake, kitu ambacho kinapunguza  au pengine hata kuondoa raha ya mahusiano. 
Mfano utakuta kwa kufuata makundi ya marafiki aliyonayo, mwanaume anakuwa mlevi wa kupindukia,  na kujikuta akiingia katika anasa na maamuzi mengine yasiyo mazuri kwa mpenzi wake na familia kwa ujumla. Hata hivyo mwanaume huyo huyo ukimuuliza kama anampenda mke wake au la, atakujibu anampenda sana. Tatizo nini ? Utajibiwa, ni pombe tuu ndio mmemtawala, na kwamba jamaa ana ‘kampani’ mbaya.
5. Maana isiyo sahihi ya upendo: Kuna wengi wanaodai wanao upendo lakini kiukweli walichonacho sio upendo bali ni tamaa au matakwa ya kuhitaji kutimiziwa mambo fulani. 
Maana halisi ya upendo sio vile unavyotaka fulani akufanyie mambo au jambo fulani, upendo sio vile unavyojisikia baada ya fulani kukutendea jambo uliloliona jema kwako, upendo sio vile fulani anavyokufanya ujisikie kwa sababu ya sura yake au umbo lake, BALI, upendo ni utayari wako wewe kufanya mambo yanayompendeza mwingine, kuwa tayari kuona mwingine ana furaha juu yako.  
 Kwa maana rahisi , upendo si jambo linalokuhusu wewe unajisikiaje, bali ni vile unavyotaka mwingine ajisikie.
Kwa maana nyingine, utatimiza vema upendo wako kwa kujitahidi kumfahamu mwenza wako, kutimiza yale anayohitaji (ili awe na furaha) sio kutimiza yale unayotaka wewe kwa makusudio yako binafsi. Upendo unahitaji kumheshimu mwenza wako, kumsikiliza, kumfanya akuamini, na aendelee kukuamini.
Pamoja na kuwa hisia za kimwili (chemistry) ni muhimu sana katika kujenga mahusiano yenu,  hisia za kimwili zisichanganywe na upendo. 
Kwakuwa fulani amekuvutia kimwili haina maana kuwa basi unampenda mtu huyo. 
Kufanya tendo la ndoa, sio lazima iwe ndio ishara ya uwepo wa upendo katika yenu, kwani wapo hata wanaofanya tendo la ndoa kama biashara.
Hitimisho
Mahusiano hususani mahusiano ya kimapenzi yanatutaka tuwe waajibikaji kwa wenzetu, na kwetu wenyewe. Kuwajibika kwa wenzetu ni pale tunapojifunza vya kutosha tabia,  na yale yanayompendeza na yasiyompendeza mwenza wetu. Wakati tunawajibika kwetu wenyewe kwa kujifunza kuhusu mapungufu yetu, na kujituma kujirekebisha. Mapenzi yanaleta majukumu, na bila kutambua na kutimiza majukumu husika, mara nyingi mapenzi yatageuka kuwa karaha, badala ya furaha.



Read More

HII NDIYO STLYE INAYOWAKOJOLESHA MAELFU YA WANAWAKE NDANI YA DAKIKA MOJA!!!!

December 28, 2019 0
Image result for MPENZI WANGU ANATAKA PENZI KINYUME NA MAUMBILE....

Kuna watu wengi sana wanajiuliza juu ya namna ya kumtosheleza mwanamke ndani ya wakati mfupi lakini wanakosa ubunifu ama ufundi wa kutimiza ndoto zao.

Zingatia hivi vitu wakati wa tendo ili kumkojolesha fasta huyo mwanamke wako:

1. Fanya utafiti juu ya sehemu ambazo zina nyege nyingi zaidi ndani ya mwili wake kisha zishughulikie zaidi.

Mfano, masikio, mapaja, maziwa, denda, kitovu, shingo nyayo, makwapa, nk.

2. Fanya utafiti juu ya style inayompandisha nyege na hivyo kupiga makelele kutokana na utamu, kisha uwe unampigisha zaidi style hiyo.


Mfano, kichuma mchicha, kifo cha mende, kusimama, katerero, nk.


3. Hakikisha kuwa uume wako unakuwa na nguvu kwa muda mrefu bila kudhohofika kivyovyote. Yaani, uume usilale kila wakati kwa sababu utamkatisha safari yake ya kuelekea kileleni.

Mfano, kula dona, matunda, ubwabwa usio na mafuta mengi, mboga mboga za majani, bamia, nyanya chungu, nk, kwa wingi sana.

-Epuka ama punguza sana, kunywa pombe, soda na juisi za rangi. Na usile chips, mikate, chapati na maandazi kwa wingi. Pia epuka kula vyakula vyenye  mafuta mengi. Jaribu kutumia mafuta ya alizeti na mawese zaidi

-Pia epuka mchezo wa kujichua, yaani nkupiga punyeto kwa maana huthoofisha sana mishipa ya uume

4. Usikurupuke wala kupaniki wakati wa tendo. Jipe nafasi na muda wa  kutosha na yeye pia mpe nafasi na muda wa kutosha kujiandaa na kurilaksi kabla ya tendo.

Mfano, mpige stori mbali mbali kabla ya kuanza kupapasana na kugongana kabisa kabisa, chezeaneni kwa muda mrefu kabila ya kulana, n.k


Read More

SILAHA MUHIMU ZA KUMFANYA AFURAHI MUWAPO FARAGHA

December 28, 2019 0
Picha inayohusiana
TENDO la ndoa (kwa wanan­doa) si tu linatumika kubore­sha uhusiano kati ya mume na mke bali pia ni dawa inay­oweza kuutibu mwili, akili na hisia. Hata hivyo, lazima liwe ni tendo lililokamilika, kwa maana lazima mwanaume na mwanamke wote walifurahie na kuridhika.
Tendo hili lisipofanyika kwa ukamilifu wake, hubadilika na kuwa kero kubwa na janga kwa wanandoa. Kama ambavyo nimekuwa nikieleza mara kwa mara, sidhani kama yupo mtu ambaye hataki kumfurahisha mwenzi wake wawapo faragha. Tatizo ni kwamba wengi hawana maarifa ya nini cha kufanya awapo fara­gha na mwenzi wake, na matokeo yake wamekuwa wakijiendea wanavyoweza, kama kutembea kwenye giza totoro usiku wa manane.
Hakuna mahali ambapo unaweza kufundishwa namna ya kumfurahisha mumeo au mkeo, angalau kidogo wazee wetu enzi zao walikuwa wanapelekwa jan­doni na unyagoni, siku hizi unakuja kujifunzia ndani ya ndoa, yaani kama ni mechi ya mpira wa miguu basi unajifunzia kutuliza mpira na kupiga danadana uwanjani wakati wa mechi ambayo ni lazima ushinde.
Mfano mwepesi ambao huwa napenda kuutu­mia ni kwamba kila mtu anaweza kuwa anatamani kupiga gitaa na kuzalisha muziki mzuri, lakini hebu jiulize, kama hujawahi kujifunza kupiga gi­taa na ukaelewa, ukipewa gitaa sasa hivi unaweza kupiga na kutoa muziki mzuri? Jibu ni HAPANA.
Mapenzi ni sanaa, kwa hiyo lazima ukubali kujifunza na kuyatafuta maarifa mahali popote yalipo ili uwe bora, huyo uliyenaye unaweza kuwa unafanya kila kitu kwa ajili yake, unajita­hidi kumuonesha upendo wa hali ya juu lakini kama hujui nini cha kufanya muwapo faragha ili afurahi, ni sawa na kazi bure. Ni kwa msingi huo ndiyo maana nikaamua tujadiliane mada hii kama inavyojieleza hapo juu.Picha inayohusiana
MAANDALIZI YA KIHISIA
Jambo la kwanza ambalo unatakiwa kulifaha­mu, ni kwamba ili mume au mke afurahie tendo muwapo faragha, lazima awe ametulia kihisia. Haiwezekani mmetoka kukwazana kuhusu jambo fulani, hamjapata suluhu na kila mmoja ana hasira halafu ndiyo mnaingia uwanjani, hamuwezi kufurahia tendo kwa mtindo huo na hii inawahusu wote.
Maandalizi mazuri ya tendo yanaanzia katika maelewano, mpokee vizuri kwa maneno yaliyo­jaa bashasha, kwa sauti ya upole, mbembeleze, mpetipeti na msifie! Ukiikamilisha kwa uka­milifu hatua hii ya kwanza na ya muhimu, basi utakuwa tayari umeshamuingiza kwenye safari ya kuelekea kufurahia tendo.
Mnapokuwa eneo la tukio, hutakiwi kuwa na papara! Lazima kwanza na wewe akili yako uitulize na badala ya kukimbilia kuingia mchezoni na kuanza kupiga mbizi kama mtu anayejifunza kuogelea, unatakiwa kwanza kutumia muda wa kutosha kupasha misuli moto.Tokeo la picha la BLACK COUPLES ON BED
Muda unaoshauriwa kitaalamu, ni angalau dakika thelathini, ndani ya muda huu mfanyie yale mambo yatakayoamsha hisia zake za ndani, viungo vya mwili wako kama mikono, vidole, mdomo, masikio vinaweza kuzalisha hisia nzuri sana kama utakuwa unajua nini unatakiwa kufanya kwa wakati gani.
Narudia tena, epuka kuwa na papara za kukimbilia uwanjani, maandalizi ni muhimu sana kwani yatamuandaa mwenzi wako kimwili na kihisia. Ukiwa na uhakika kwamba maandalizi yamefanyika kwa ukamilifu, sasa unaruhusiwa kuendelea na hatua kubwa na ya muhimu inayofuatia.
Katika hatua hii ambayo kimsingi ndiyo inayowaun­ganisha, pia unatakiwa kuwa na uelewa juu ya nini cha kufanya na kwa mtindo gani, siyo unaingia kwa papara kama unakimbizwa, hapana. Hapa pia unatakiwa kujifunza zaidi ili kuhakikisha unaibuka mshindi kwa kumfikisha mwenzi wako kwenye kilele cha safari yake ya huba.Kwa leo tuishie hapa, tutaen­delea wiki ijayo sehemu ya pili.


Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI





from UWANJA WA MAPENZI https://ift.tt/2Fq6Zy6
Read More

Friday, December 27, 2019

IJUE SIRI YA KUIPATA NDOA HARAKA !

December 27, 2019 0
Tokeo la picha la black couple wedding
RAHA ya uhusiano wa mapenzi, ni kumpata mwenza sahihi na kwa wakati muafaka. Unapopishana na muda, unachelewesha maendeleo yako maana mwenza ni chachu ya maendeleo.
Ili uingie kwenye familia, inakupasa uingie katika muda sahihi na mtu sahihi. Kinyume chake utaishia kuchezewa, ukija kushtuka umri unakuwa si rafiki. Utaingia kwenye uhusiano na mtu ili mradi tu na wewe uwe na mtu. Kwa sababu tu unataka na wewe uwe familia. Lakini kama ungeingia mapema, pengine ungekuwa mbali kimaisha.
Wengi sana wanajuta kwa kupoteza muda. Wengi wanalia kwa kuingia kwenye uhusiano na watu ambao si sahihi. Ukitaka kufanikiwa kwenye uhusiano, hakikisha unaingia na mtu sahihi na katika muda muafaka. Ukisikiliza simulizi za wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wamechoka kuishi maisha ya ubachela. Wanataka kuwa na wenza wao ili kwa namna moja au nyingine, washirikiane katika kutengeneza maisha na wapate maendeleo kabla uzee haujawanyemelea.
Wanakiri kwamba kwa kuishia maisha ya ubachela, wanajikuta wakiwa kwenye matumizi makubwa yasiyokuwa ya lazima. Wanalazimika kutumia fedha nyingi kwa kununua vyakula hotelini, kuwapeleka wanawake baa, gesti au hoteli pamoja na mambo mengine mengi ya starehe.
Kifupi inafika wakati wanayachoka hayo maisha. Wanayaona hayana tija katika suala zima la maendeleo. Hapo ndipo wanawasaka wenzi wa maisha kwa udi na uvumba. Bahati mbaya sana, wakati wakiwa wanawasaka wenzi, wanakutana na changamoto ya wale ambao wanawahitaji.
Mwanaume anakuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano lakini mwanamke anakuwa bado. Anataka kuula ujan na yupo katika kile kiwango cha ‘kunguru hafugiki’. Mwanaume hata afanye nini, yeye si wa kutulizwa akatulia.
Si wanaume pekee, hata wanawake nao wanakutana na kisanga hiki. Unakuta mwanamke yupo tayari kwa lolote, amechoshwa na maisha ya kuhangaika na dunia, anataka kuingia kwenye uhusiano wenye tija lakini wapi. Anaambulia patupu maana kila anayekutana naye, hana huo mpango.
Huu ndio ulimwengu ulivyo. Mwanaume aliye tayari, anahaha kumpata mwanamke aliye tayari bila mafanikio. Vivyo hivyo mwanamke aliye tayari, naye anahangaika kila uchwao kumsaka mtu ambaye atakuwa baba wa watoto wake lakini naye anapishana naye.Picha inayohusiana
USIKURUPUKE
Linapokuja suala la kumsaka mwenzi wa maisha, hupaswi kukurupuka. Unapaswa kufanya tathimini ya kina ili uweze kumpata yule ambaye ni sahihi. Usiendeshwe na tamaa ya mwili. Kwamba huyu mrefu, huyu mfupi huyu ana hiki, tazama mahitaji sahihi ya mtu unayemtaka.
Unayetaka kuingia naye kwenye uhusiano, ana tabia njema? Ana hofu ya Mungu? Hofu ya Mungu ni chachu ya mafanikio yoyote duniani. Mwenye hofu ya Mungu ana tabia njema. Mwenye hofu ya Mungu ni mvumilivu. Ana hekima, ana busara na anaweza kusamehe pale inapobidi.
Mwenye hofu ya Mungu si mtu wa visasi. Si mtu wa kukaa na chuki au kuwa na kinyongo. Anapoombwa msamaha wa jambo alilokosewa, akasema amesamehe basi ujue limeisha. Hutalisikia tena!
MUDA NI KITU CHA THAMANI
Tunashauriwa tusipoteze muda. Pale unapoona upo na mtu sahihi, mwenye malengo sahihi tunapaswa kupashikilia. Muda haumsubiri mtu. Usiseme eti utaingia kwenye ndoa baadaye, safari ya ndoa inaanza na uchumba. Hakikisha unaujenga kwa muda muafaka na uweze kuingia na mtu sahihi.
Kuchelewa kuingia, wakati mwingine ni kujikuta unaingia na mtu ambaye si sahihi. Utajikuta umeingia kwa sababu tu unaona umri unakutupa mkono. Yeyote atakayejitokeza ni halali yako. Tengeneza njia sahihi katika muda sahihi.

Read More

Zijue Faida za Kumsifia Mkeo/Mmeo au Mpenzi wako

December 27, 2019 0

Kuna mengi mazuri ambayo huenda mpenzi wako aliwahi kukufanyia, je uliwahi kumshukuru kwa kukufanya ufarijike? Naamini Mungu amekujaalia kuwa na mpenzi mzuri, mwenye kila sifa ambayo ulitamani awe nayo, je ulishawahi kumsifia hata kwa kumwambia ni mzuri? 

Huenda ulishawahi kufanya hivyo lakini kwa taarifa yako wapo ambao wanahisi kufanya hivyo eti ni ulimbukeni. Ulimbukeni? Kumsifia mpenzi wako  unaona ni ulimbukeni wakati wataalam wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, wanawake ni watu wanaopenda kusifiwa sana hata kwa madogo wanayoyafanya. 

Unaona hatari gani kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri? Unadhani unatumia nguvu gani kumsifia mpenzi wako kutokana na mahaba mazito anayokupatia? 

Kwa taarifa yako unaweza kuona ni kitu kidogo sana  lakini madhara yake kwenye penzi ni makubwa. 

Kumsifia mpenzi wako kwa yale anayokufanyia kuna faida nyingi sana lakini kwa leo nitagusia chache. Kwanza kunaongeza mapenzi. Mume/mke anaposifiwa kuwa anajua mapenzi hata kama si kwa kiwango kikubwa, anafarijika sana. 

Unapomwambia mpenzi wako: ‘Dear nashukuru kwa mapenzi uliyonipa jana, umenipa furaha ya ajabu ambayo siamini kama kuna mtu mwingine wa kunipa, nakupenda sana’. 

Maneno kama haya hutumii nguvu wala muda mwingi kuyafikisha kwa mpenzi wako lakini uzito wake ni mkubwa. Kwanza anajihisi aliyekamilika kwa kufikia hatua ya kufanya mambo yakamridhisha mpenzi wake na kwa mazingira hayo anaamini huwezi kumsaliti. Hisia hizo zitamfanya azidi kukupenda. 

Hilo ni kwa wote yaani kwa mwanaume na mwanamke. Lakini pia unapomsifia mpenzi wako kwa yale anayokufanyia, unamfanya aongeze kasi ya kukufanyia ili nawe uzidi kumpenda. 

Kwa mfano, unapokutana na mpenzi wako kisha ukamwambia ‘umependeza kweli mpenzi wangu, nazidi kukupenda kwa unavyovaa’. 

Mtu anayeambiwa maneno haya atajitahidi sana siku zote aonekane nadhifu na wa kuvutia kwa mpenzi wake akijua kwamba, akivaa ilimradi kuvaa, hatamfurahisha mpenzi wake. Kwa maana hiyo kumsifia mpenzi wako kunamfanya azidi kuwa bora.

Lakini kusifia kusiwe kwa kinafiki. Usimsifie mpenzi wako eti ili kumfanya ajione bora kumbe katika uhalisia siyo hivyo. 

Tusifiane pale inapobidi huku tukijua kuwa kwa kufanya hivyo tutapata faida. Tusiwe na tabia ya kuchukulia poa kila tunachofanyiwa na wapenzi wetu. 

Kama kakuridhisha kimapenzi, msifie kwamba yeye ni muhimu kwako kwa kuwa amekupa ulichotarajia. Amekupikia chakula kizuri, msifie kuwa yeye ni mpishi mzuri. Hiyo italinogesha penzi na utashangaa kila siku inayokwenda kwa Mungu penzi lenu linachanua. 

Lakini mbali na hayo, unatakiwa kuridhika kwa kile unachokipata kutoka kwa huyo mpenzi wako ulinaye kwa sasa. Najua kwenye uhusiano wengi tumetoka mbali. Wapo waliowahi kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja huko nyuma na kila mmoja alikuwa na kiwango chake cha kukuridhisha. 

Inawezekana kuna ambaye unamkumbuka kwa mapenzi mazito aliyokuwa anakupa zaidi ya huyo uliyenaye. Hiyo ni historia, imepita! Kama huyo uliyenaye si mtaalam sana wa kukufikisha pale unapopataka, ridhika na hicho kidogo unachokipata endapo atakuwa anaonesha kukupenda kwa dhati. 

Mpe moyo, msifiesifie kidogo kwa hiyo furaha kiduchu anayokupa huku ukiamini kuwa, atabadilika kadiri siku zinavyokwenda. 

Kumbuka cha msingi katika maisha yetu ni kumpata mtu mwenye mapenzi ya kweli na si kumpata anayeweza kukuridhisha katika mambo kadha wa kadha.


Read More

MAMBO YA CHUMBANI:Akina dada mnaijua tekniki hii?

December 27, 2019 0

Kama Boy friend/Mumeo anatatizo lifuatalo huu ni ufumbuzi wake.

Mnapokuwa faragha wakati wa majamboz boy friend/mumeo ana tatizo la kuwahi kumaliza kabla hata wewe hujafika hata robo ya 'safari'? 

Mbaya zaidi wengine hutumia chini ya dakika tano(5) na akishamaliza hana 'mzuka' tena.

Ufumbuzi.

Dadkika chache kabla hamjaanza majamboz, tafuta pini(exactly iwe dizaini kama hiyo pichani).
Ibane kwenye nywele zako(za kichwani), hakikisha mwenzi wako haioni.
Kisha anzeni majambozi.

Nakuhakikishia mtapiga gemu na jamaa hatofika ila ataendelea kuwa fit mpaka utakapoitoa ile pini ndipo 'atamaliza'

So kazi itakuwa kwako mwanadada kwani pini yako ni kama remote control yako, ukitaka amalize unaitoa pini yako ukitaka aendelee hata kwa masaa matatu mfululizo unaicha tuu pini.

Kumbuka.
Hii ni kwa akina dada wenye nywele ndefu ziwe natural au hata 'wivingi', rasta etc.

Zingatia:
Mwenzi wako hatakiwi kuiona hiyo pini wala hatakiwi kujua kama unatumia hii mbinu.

NB: huu sio uchawi na wala haihusiani na ushirikina bali ni urithi kutoka kwa bibi zetu.
Proudly African.

adios....amigo
Read More