Rais Samia amesema wimbi la tatu la #COVID19 limeipiga Tanzania kuliko wimbi la pili na la kwanza
Hadi hivi sasa kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa #COVID19 ambapo zaidi ya 70 kati yao wanatumia mitungi ya gesi kupumua
Serikali imeamua kuchukua tahadhari zote ikiwemo kuleta chanjo ambapo watanzania watachanja kwa hiyari
from Udaku Special https://ift.tt/3h1b1jx
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/3dpAXD1
No comments:
Post a Comment