Hatimaye Mrembo TUNDA na Mwanamuziki Whozu Wamepata Mtoto, Whozu Ataja Jinsia - Mapenz Wakubwa

Hot

Tuesday, June 29, 2021

Hatimaye Mrembo TUNDA na Mwanamuziki Whozu Wamepata Mtoto, Whozu Ataja Jinsia


Msanii Whozu amethibitisha yeye kupata mtoto baada ya Mchumba wake Tunda kujifungua Salama. Wawili hao wamefanyikiwa kupata mtoto wao wa kwanza, whozu amepost katika mitandao yake ya kijamiii picha ya Tunda akiwa na mama yake Hospitalini na kuandika haya: "Baraka juu ya Baraka " 

Baada ya Whozu kuhojiwa amesema kuwa wamefanikiwa kupata mtoto wa kike salama kabisa na anafurahi unayozidi kifani



from Udaku Special https://ift.tt/3jphje8
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3dptALL

No comments:

Post a Comment