Rais Samia "Chanjo ya corona itakuja Tanzania lakini itakuwa hiari kwa mtu kuchanjwa" - Mapenz Wakubwa

Hot

Monday, June 28, 2021

Rais Samia "Chanjo ya corona itakuja Tanzania lakini itakuwa hiari kwa mtu kuchanjwa"


 "Chanjo ya corona itakuja Tanzania lakini itakuwa hiari kwa mtu kuchanjwa, haitakuwa lazima, Tuliamua kwamba Twende na Ulimwengu unavyokwenda Tuchanje, Tuchanje kwa hiari Mtanzania anayetaka atachanja asiyetaka atajiskiliza nafsi yake,


Sisi kama Serikali tunahimiza yale yanayoshauriwa na wataalamu, kama unaamini kwenye kupiga nyungu wewe piga, Kila mmoja atekeleze wajibu wake, Jikingeni sana na wakingeni watoto" - Rais @samia_suluhu_hassan



from Udaku Special https://ift.tt/3A9L6xg
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3jnlRle

No comments:

Post a Comment