Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliofariki katika mafuriko wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara, imeongezeka na kufikia 63 (wanaume 23 na wanawake ni 40) na majeruhi 116.
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/LDuaQMN
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/b8ILxCz

No comments:
Post a Comment