Moto Waunguza Maduka Mwenge Jirani na Stand Mpya - Mapenz Wakubwa

Hot

Tuesday, December 5, 2023

Moto Waunguza Maduka Mwenge Jirani na Stand Mpya


Moto Waunguza Maduka Mwenge
Moto Waunguza Maduka Mwenge

Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeteketeza baadhi ya maduka yaliyopo hatua chache kutoka Stendi mpya ya Mwenge Jijini Dar es salaam.

Wakati wakiendelea kusubiri Jeshi la Zimamoto, tukio limeshuhudiwa na baadhi ya Mashuhuda wakifanya jitihada za kuuzima moto huo ambao hata hivyo umeonekana kuwazidi nguvu bila mafanikio.

Bado haijajulikana idadi ya maduka yaliyoteketea ama kiwango cha hasara


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2wb6EGi
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/lk2cesV

No comments:

Post a Comment