Mahakama Kuu ya Tanzania, leo Alhamisi, imemuamuru Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kumlipa Sh.6 bilioni, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vyake vya habari.Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Joacquine De Mello.
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3Bn3xOw
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/3jKpeC8
No comments:
Post a Comment