Waziri mkuu wa Haiti kujiuzulu - Mapenz Wakubwa

Hot

Tuesday, July 20, 2021

Waziri mkuu wa Haiti kujiuzulu




Afisa mmoja wa serikali ya Haiti amesema Jumatatu kwamba waziri mkuu wa muda, Claude Joseph ambaye amekuwa akiendesha taifa tangu kuuwawa kwa rais Jovenel Moise atajiuzulu ili kutoa nafasi kwa mtu aliyekuwa ameidhimishwa na na kiongozi huyo kabla ya kifo chake.


from Udaku Special https://ift.tt/3kIIPUu
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/2UwVyiq

No comments:

Post a Comment