Rais Samia Atuma Salamu za Pole Kifo cha Mghwira - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, July 22, 2021

Rais Samia Atuma Salamu za Pole Kifo cha Mghwira



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa familia ndugu jamaa na marafiki kuafuatia kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira kilichotokea leo Julai 22, katika hospital ya Rufa ya Mount Meru mkoani Arusha alipokuwa anapatiwa matibabu.

Rais amesema amepokea taarifa za kifo cha Anna Mghwira kwa majonzi na masikitiko makubwa hasa akikumbuka mchango alioutoa katika ujenzi wa taifa.




from Udaku Special https://ift.tt/2UFNlIR
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3BrFfnQ

No comments:

Post a Comment