Kama Aliyesema Manara ya Kulipwa Laki 7 Basi Kunatatizo Mahali Simba - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, July 22, 2021

Kama Aliyesema Manara ya Kulipwa Laki 7 Basi Kunatatizo Mahali Simba


Alivyosema Haji kama ndio ukweli wenyewe basi kazi ipo. Ila kilichonishangaza zaidi ni aliposema analipwa 700k! Kwa ground vitu viko different sana. Huyu jamaa anastahili take home ya si chini ya Milioni 7 au 8 kwa mwezi + benefits nyingine..

Kwa kazi na juhudi anazozifanya Haji Manara kuipigania Simba basi kuna tatizo mahali


from Udaku Special https://ift.tt/3eMFqQT
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3BumakN

No comments:

Post a Comment