Marekani: BILL Cosby Aachiwa Huru - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, July 1, 2021

Marekani: BILL Cosby Aachiwa Huru

 


Mahakama Kuu ya Pennsylvania imegundua Mchekeshaji Bill Cosby awali alikuwa na makubaliano na Mwendesha Mashtaka wa Serikali kuwa hatoshitakiwa kwa makosa hayo ya Udhalilishaji wa Kingono

Mwaka 2015 alikuja Mwendesha Mashtaka mwingine wa Serikali ambaye alimchukua Andrea Constand ili ashuhudie kunyanyaswa kingono na kumfanya Cosby afungwe

Aidha, Wanawake wengi walijitokeza wakidai kuwa Cosby aliwanyanyasa kingono lakini imebainika maelezo yao hayaendani na kesi




from Udaku Special https://ift.tt/2TnrJjX
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/2SCE2bE

No comments:

Post a Comment