Bei za Mafuta Tanzania Zapanda Bei.... - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, July 1, 2021

Bei za Mafuta Tanzania Zapanda Bei....


Bei za rejareja za petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa Julai 2021 zimeongezeka kwa TZS 156/lita, 142/lita na 164/lita, mtawalia.

Vivyo hivyo, bei za jumla za petroli, dizeli na mafuta ya taa zimeongezeka kwa 155.57/lita, 141.94/lita na 163.49/lita, mtawalia



from Udaku Special https://ift.tt/3h6YhYo
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3w8VYIE

No comments:

Post a Comment