Mtoto wa miaka 13 adaiwa kupigwa risasi na polisi kisa kukiuka masharti ya corona - Mapenz Wakubwa

Hot

Monday, June 28, 2021

Mtoto wa miaka 13 adaiwa kupigwa risasi na polisi kisa kukiuka masharti ya corona




Jeshi la Polisi nchini #Uganda, linachunguza mauaji ya Ester Naula (13) ambaye amedaiwa kupigwa risasi na Polisi kwa kukutwa nje saa moja na robo usiku ambao ni muda wa kuwa ndani

Tukio hilo limetokea katika Wilaya ya Butaleja, ambapo inaelezwa kuwa Ester alikuwa ametoka kununua chapati ndipo Polisi alirusha risasi baada ya Ester na Wananchi wengine kukimbia ili kuepuka kukamtwa

Aidha, Msemaji wa Polisi wa Mkoa wa Kusini, Moses Mugwe amethibitisha tukio hilo lililoacha majeruhi kadhaa. Polisi aliyefanya tukio hilo ameshakamatwa



from Udaku Special https://ift.tt/3gYaU8f
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3jmQCac

No comments:

Post a Comment