Brian Simba afunguka Vanessa Mdee kuacha kumpa sapoti, sijaongea naye muda - Mapenz Wakubwa

Hot

Monday, June 28, 2021

Brian Simba afunguka Vanessa Mdee kuacha kumpa sapoti, sijaongea naye muda



“Mimi naona sawa tu kwa sababu sijaongea naye muda sana ila Mimi Mars ananisapoti sana, tuliacha mambo kwenye sehemu nzuri , huwezi kumlzimisha mtu akusapoti hiyo inatoka kwenye moyo wa mtu”

Mimi niliondoka Mdee Music bila ugomvi hiyo ilikuwa mipango tu na naona menejimenti yangu ya sasa inanifaa zaidi, Mdee Music ilinitangaza sana ngoma zangu zilipigwa mpaka Nigeria, Ghana, Afrika Kusini”. – @briansimba_




from Udaku Special https://ift.tt/3jnXm7I
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3vZD86D

No comments:

Post a Comment