Mange Kimambi: Kwenye Hii Kesi Dullah Kashinda, Kajua Kuwatoa Kwenye Reli Haji Manara na Zaylisa - Mapenz Wakubwa

Hot

Sunday, January 21, 2024

Mange Kimambi: Kwenye Hii Kesi Dullah Kashinda, Kajua Kuwatoa Kwenye Reli Haji Manara na Zaylisa



Ameandika Mange Kimambi:

Mı sio mtu wa kupenda penda umbea wa mitandaoni au mtu wa kufatilia mambo ya watu ila ngoja tu niseme kitu, kwenye hii kesi Dullah kashinda aiseee, kajua kuwatoa kwenye reli sasa hivi kiki yoote yake insta….. Yani kajua kutembea na kiki ya watu….DAH!! Dadekiii.

Alafu hiyo sehemu Dulla aliyoimba kwamba Siri yetu niliificha eti ni kwamba Zay alimpa kisamvu cha kopo… eti ndo maana akalia machozi alikuwa analilia aendelee kupewa kisamvu cha kopo….. Sio maneno yangu!!!

So nyie mnaemcheka Dulla kulia vile mjiulize je ingekuwa wewe ndo umepewa kisamvu cha kopo alafu ghafla umekatizwa usingelia kama mbuzi jike?

Hawa jamaa tuwaache tu wamalizane wenyewe maana hawana tofauti kabisaaa, mmoja akiachwa analia mwingine akiachwa anazimia chini puuh!


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/ROXDgrK
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/gcvy7rL

No comments:

Post a Comment