Maskini Man United Wafungwa Bao 3 Bila - Mapenz Wakubwa

Hot

Sunday, December 10, 2023

Maskini Man United Wafungwa Bao 3 Bila

 

Maskini Man United Wafungwa Bao 3 Bila

Timu ya Manchester United imechapwa mabao 3-0 na AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumamosi Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.


Mabao ya AFC Bournemouth yamefungwa na Dominic Solanke dakika ya tano, Philip Billing dakika ya 68 na Marcos Senesi dakika ya 73.


Kwa ushindi huo, AFC Bournemouth inafikisha pointi 19 na kusogea nafasi ya 13, wakati Manchester United inabaki na pointi zake 27 nafasi ya sita baada ya wote kucheza mechi 16.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/PVvgbmD
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/uFUtDWV

No comments:

Post a Comment