Maskini Bernard Morisson Afanyiwa Upasuaji Mkubwa Baada ya Kuumia - Mapenz Wakubwa

Hot

Monday, December 11, 2023

Maskini Bernard Morisson Afanyiwa Upasuaji Mkubwa Baada ya Kuumia

Maskini Bernard Morisson Afanyiwa Upasuaji Mkubwa Baada ya Kuumia


Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya As Far Rabbat ya Morocco, Bernard Morisson tayari amefanyiwa upasuaji wa goti lake baada ya kupata majeraha wiki kadhaa zilizopita.


Bado haijafahamika kwa haraka atakaa nje kwa muda gani kutoka na kuuguza Jeraha hilo.


Bernard Morisson aliwahi kupita katika vilabu vya Simba na Yanga na kubeba vikombe kadhaa.


Una neno gani la kumpa Morisson? Tuachie ujumbe wako



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/MsDJyC1
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/Rdag02A

No comments:

Post a Comment