Lulu Diva Aikana Voice Note Aliyokuwa Akimwambia Mganga Amtengeneze Awe Kama Nandy
Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva ameikana sauti iliyodaiwa kuwa ni yake akiwasiliana na mganga.
Diva ameikana sauti hiyo alipokuwa kwenye uzinduzi wa ngoma yake mpya aliyomshirikisha Nandy inayokwenda kwa jina la Mtaalam.
"Ile sauti siyo yangu na hata sijui ni ya nani. Sisi tulikuwa na wimbo wetu tumeufanya na tulipoisikia ile sauti tukaona ni wakati mzuri wa kuuachia," alisema Diva.
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/ZGI0OeB
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/PQs2ju8

No comments:
Post a Comment