Ukraine yasema Shambulizi la Russia dhidi ya Mnara wa TV wa Kiev yasababisha vifo vya Watu Watano - Mapenz Wakubwa

Wednesday, March 2, 2022

Ukraine yasema Shambulizi la Russia dhidi ya Mnara wa TV wa Kiev yasababisha vifo vya Watu Watano



Ukraine yasema shambulizi la Russia dhidi ya mnara wa TV wa Kiev yasababisha vifo vya watu watano_fororder_3
Idara ya utoaji wa huduma za dharura ya Ukraine imesema kwenye Facebook kuwa, watu watano wameuawa na wengine zaidi ya watano kujeruhiwa katika shambulizi la Russia dhidi ya mnara wa TV wa Kiev.

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ukraine imesema hapo awali kuwa uendeshaji wa vituo vya televisheni utakatizwa kutokana na mashambulizi hayo.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/JeE2Arf
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/IJbsgcu

No comments:

Post a Comment