Trouble in Paradise..Mama Dangote Amu Unfollow Zuchu Instagram, Hataki Kumsikia - Mapenz Wakubwa

Hot

Monday, March 14, 2022

Trouble in Paradise..Mama Dangote Amu Unfollow Zuchu Instagram, Hataki Kumsikia




Wakati penzi la msanii Diamond Platnumz na Zuchu likiendelea kuchanua kila leo, Mama Dangote, Mama mzazi wa Diamond Platnumz ni kama bado hajataka kubariki jambo hilo. Kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye followers milioni 4.8M na following 56 (kabla), Mama Dangote amempunguza Zuchu na kubaki na watu 55 pekee aliowafollow kwenye ukurasa wake huo.

Watabiri wa “mtaachana tu”, mnasemaje?😁


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/UFSb5Ad
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/X8RQq5C

No comments:

Post a Comment