Aliyewahi kuwa Rais wa Zambia, Rupiah Banda amefariki akiwa na umri wa miaka 85. Aligundulika kuwa na saratani ya utumbo mwaka 2020.
Banda ni Rais wa nne wa Zambia aliyechaguliwa kidemokrasia. Aliongoza kuanzia mwaka 2008 hadi 2011.
#RIPBanda
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Ygl9auZ
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/C8l0Git
No comments:
Post a Comment