Seneta Apendekeza Watu wa Urusi Kumuua Rais Putin - Mapenz Wakubwa

Hot

Saturday, March 5, 2022

Seneta Apendekeza Watu wa Urusi Kumuua Rais Putin


Kupitia kituo cha tv cha Fox News, Seneta wa Marekani amesababisha hasira kwa baadhi ya Warusi baada ya kuwataka watu wa Urusi kumuua Rais Vladimir Putin. Lindsey Graham wa Republican wa jimbo la Carolina Kusini, alisema 'Njia pekee ya uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine kuisha ni kwa mtu nchini Urusi kumuua Putin, atakuwa ameifanyia nchi yake na ulimwengu kazi nzuri sana",

Kauli hii imezua hasira na kupelekea balozi wa Urusi nchini Marekani, Anatoly Antonov, kuomba maelezo juu ya matamshi hayo ambayo ameyaita "matamshi yasiyokubalika na ya mauudhi"


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Q251ST9
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/zx2jfoW

No comments:

Post a Comment