Mpaka sasa kampuni zilizofikia 47 zimetangaza kusitisha biashara zao Nchini Russia - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, March 10, 2022

Mpaka sasa kampuni zilizofikia 47 zimetangaza kusitisha biashara zao Nchini Russia


Mpaka sasa kampuni zilizofikia 47 zimetangaza kusitisha biashara zao Nchini Russia na kuungana na Mataifa mbalimbali kupinga vita inayoendelea Nchini Ukraine baada ya Majeshi ya Russia kuanza kushambulia nchi hiyo zaidi ya siku 10 zilizopita.

Miongoni mwa Kampuni hizi ni DHL, Puma, Boeing, VISA, Heineken, Youtube, Fedex, Microsoft, Google, Uniliver, Cocacola, Pepsi, McDonald, Pizza hut, Bp, Maersk, Air BNB, UPS, Toyota, VW na Ford.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/I1rdvZA
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/iwLda5p

No comments:

Post a Comment