Kituo cha Mtambo mkubwa wa Nishati ya Nyuklia Barani Ulaya kilichoko #Ukraine kimelengwa katika mashambulizi ya Urusi usiku wa kuamkia leo Ijumaa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba ametaka kusitishwa mara moja kwa mapigano katika eneo hilo ili kuepusha Maafa
Msemaji wa Mtambo huo wa #Zaporizhia, Andrei Tuz amesema shambulio la makombora lililofanywa na Vikosi vya Urusi, limesababisha Moto kuwaka katika mojawapo ya sehemu ya kituo hicho
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/i8eaDPp
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/J7ApRvV
No comments:
Post a Comment