Jeshi la Uganda limekanusha taarifa kuwa mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi amestaafu - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, March 10, 2022

Jeshi la Uganda limekanusha taarifa kuwa mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi amestaafu


Jeshi la Uganda limekanusha taarifa kuwa mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba amestaafu, na kwamba hakuna maombi yaliyopokelewa.

Taarifa imeeleza kwamba andiko kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba amestaafu liliwekwa kimakosa na mwendesha ukurasa huo.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/MiREzl3
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/MUitebD

No comments:

Post a Comment