Hawa GUCCI Wana Utani Mkubwa na Sisi, Yaani Chacha za Elfu 2000 Kariakoo Wao Wanauza Sh Milioni Moja - Mapenz Wakubwa

Hot

Saturday, March 12, 2022

Hawa GUCCI Wana Utani Mkubwa na Sisi, Yaani Chacha za Elfu 2000 Kariakoo Wao Wanauza Sh Milioni Moja


 

Kampuni ya kuuza bidha za kifahari Gucci imetoa kiatu cha “jelly slippers”maarufu Afrika Mashariki kwa jina la chachacha.



Kiatu hiki cha Gucci kinauzwa dola 490 za Kimarekani, ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 1.1 za kitanzania, na ni kiatu cha miaka ya 90.

Toleo la “jelly slippers” linakuja kwa rangi nyeusi, waridi na zambarau, na limepambwa kwa motifu ya chapa ya GG.

Kwa mujibu wa Gucci.com, mitindindo hii ni ya miaka ya 90, viatu hivi vimetengenezwa kwa raba na umaliziaji wa uwazi pia ni kutokana na ‘recalling’.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/XFxUMl9
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/MeV1zma

No comments:

Post a Comment