Drake Apigwa na Kitu Kizito Kichwani, Apigwa Zaidi ya Milioni 645 Kwenye Betting - Mapenz Wakubwa

Hot

Monday, March 7, 2022

Drake Apigwa na Kitu Kizito Kichwani, Apigwa Zaidi ya Milioni 645 Kwenye Betting


Drake amekuwa akitafuta njia nyingine ya kuongeza kipato chake, na sasa ameamua Ku-bet. Juzi alipigwa na kitu kizito kichwani mara baada ya kuliwa zaidi ya TSh. MILIONI 645 kwenye pambano la UFC ambapo alimpa ushindi Masvidal ambaye alipigwa na Colby Covington.

Baada ya pambano hilo, Colby Covington alimtolea povu Drizzy kwa kumwambia aachane na haya mambo na arudi kuuza album zake za kipuuzi.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/bv6MT2h
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/4YUdkO2

No comments:

Post a Comment