Bei za Mafuta Zapanda Zanzibar Kwa Takribani 7% - Mapenz Wakubwa

Hot

Wednesday, March 9, 2022

Bei za Mafuta Zapanda Zanzibar Kwa Takribani 7%




Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati #Zanzibar (ZURA) imetangaza ongezeko la bei za Petroli na Dizeli huku Mafuta ya Taa yakipungua

Kuanzia Machi 9, Petroli itauzwa Tsh. 2,459 kwa lita kutoka Tsh. 2,298 ya Februari. Dizeli itauzwa Tsh. 2,500 badala ya Tsh. 2,345. Mafuta ya Taa awali yaliuzwa kwa Tsh. 1,890 na sasa yatauzwa kwa Tsh. 1,811 kwa Lita

Ongezeko la Bei hizo limetokana na kupungua kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola ya Marekani, na kuongezeka kwa bei za Mafuta katika soko la Dunia na tozo za Serikali



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/YgOJNIF
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/v41hBdt

No comments:

Post a Comment