Burnaboy Apata Ajali Mbaya Katika Gari lake Jipya la Ferrari, Awashtumu Watu Waliokuja Kumrekodi - Mapenz Wakubwa

Monday, February 28, 2022

Burnaboy Apata Ajali Mbaya Katika Gari lake Jipya la Ferrari, Awashtumu Watu Waliokuja Kumrekodi


Kutoka insta story ya mwanamuziki @burnaboygram amethibitisha kupata ajali usiku wa kuamkia leo akiwa na Gari yake aina ya Ferrari na kuweka wazi kupata majeraha na maumivu kidogo kwenye sehemu ya mguu wake.

Mbali na hilo pia BurnaBoy ameeleza kusikitishwa na watu ambao walianza kumrekodi kupitia simu zao baada ya kumpatia msaada baada ya kupata ajali hio.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/7aqcHED
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/De0qB5N

No comments:

Post a Comment