Mwijaku Akata Mzizi wa Fitina "Ni Kweli Shilole Hakuwepo Kwenye Ratiba ya Event ya Ali Kiba" - Mapenz Wakubwa

Hot

Friday, October 29, 2021

Mwijaku Akata Mzizi wa Fitina "Ni Kweli Shilole Hakuwepo Kwenye Ratiba ya Event ya Ali Kiba"


Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena ya clouds FM @mwijaku ambae pia alikua mshereheshaj katika shughuli ya @officialalikiba ya uzinduzi wa Album yake ya Only One King' amefunguka kuwa ni kweli @officialshilole hakuwepo kwenye utaratibu wala ratiba ya kuzungumza katika shughuli ile.

Mwijaku ameeleza kuwa aliweza kumpatia nafasi #Shishi kwa mapenzi na mahaba yake binafsi na msanii huyo -kwa kuwa anaa mahusiano nae mazuri , lakini uongozi wa AliKiba ,utaratibu wala ratiba haikumtaja shilole kuzungumza ama kutambulisha wimbo wowote katika shughuli hiyo.

✍🏾@keviiiy.iam




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3q32KR5
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3BqkqrC

No comments:

Post a Comment