Kumekucha..Unaambiwa Zaidi ya Makocha 80 Watuma Barua Kuomba Kazi Simba - Mapenz Wakubwa

Hot

Saturday, October 30, 2021

Kumekucha..Unaambiwa Zaidi ya Makocha 80 Watuma Barua Kuomba Kazi Simba


Makocha zaidi ya 80 wa ndani na nje ya Afrika wameshawasilisha wasifu (CV) zao wakiomba kuifundisha klabu ya Simba baada ya kuachana na Kocha Didier Gomes Da Rosa.

Klabu ya Simba inamuhitaji kocha mwenye Leseni ya Daraja A ya CAF au UEFA A Pro ambayo Gomes hakuwa nayo hali iliyosababisha kutoruhusiwa kukaa kwenye benchi katika mechi za klabu bingwa.

Makocha wawili waliowahi kuifundisha Simba miaka iliyopita Milovan Cirkovic na Mcroatia Zdravko Logarusic ni miongoni mwa makocha hao.




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3w6TcFC
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3CwPuXY

No comments:

Post a Comment