Dunia Simama Nishuke..Mwanaume Amuoa Mama yake Mzazi Kama Mke wa Pili - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, October 28, 2021

Dunia Simama Nishuke..Mwanaume Amuoa Mama yake Mzazi Kama Mke wa Pili


Vashko Sande wa Zimbabwe ameushangaza ulimwengu baada ya kumfanya mama mzazi wa mke wake(mama mkwe) kuwa mke wa pili.Hii ni baada ya kuwa kwenye penzi la siri naye kwa miaka 7.Vashko anasema ni furaha yake kuoa mama na bintiye kwani ametokea sana kuwapenda wote.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3Gs4fOn
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3jJJeVB

No comments:

Post a Comment