Ben Pole Afunguka 'Kwa Anerlisa Sikufuata Pesa, Sikujua Hata Kama ni Mwanamke Tajiri' - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, October 28, 2021

Ben Pole Afunguka 'Kwa Anerlisa Sikufuata Pesa, Sikujua Hata Kama ni Mwanamke Tajiri'



King of RnB @IamBenPol ameweka wazi kupitia Nirvana ya East Africa Tv kuwa alikaa na Arnelisa mwaka mzima bila kujua aliyekuwa mke wake Anerlisa kuwa ni tajiri na wala hakuwa naye kwa sababu ana pesa kama wengi wanavyodhani, ilitokea tu tukapendana na mambo yakaenda

Ikumbukwe Ben Pol na Anarlisa kutoka Kenya Walikuwa wapenzi hadi kufikia kuoana lakini kwa sasa Hawaii pamoja Kila mtu na hamsini zake


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3BpcmYd
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3GFtM6X

No comments:

Post a Comment