Aunty Ezekiel "Nina Miaka 28 Alafu Mume Wangu Kusah Ana Miaka 29 Najua Hamuwezi Amini" - Mapenz Wakubwa

Hot

Friday, October 29, 2021

Aunty Ezekiel "Nina Miaka 28 Alafu Mume Wangu Kusah Ana Miaka 29 Najua Hamuwezi Amini"



Mwigizaji maarufu hapa Tanzania @auntyezekiel katika mahojiano na BonaTv usiku wa kuamkia leo amefunguka kuhusiana na umri wake yeye pamoja na mume wake @_kusah_ .Katika mahojiano amefunguka haya:•

"Najua Watu Hawato Amini Ila Ukweli Ndio Huu Mimi Nina Miaka 28 Na Mume Wangu Kusah Anamiaka Nadhani 29 Wale Wanaosema Nimemzidi Umri Wakae Kimya Tu Maana Ukweli Ndio Huo"-Ameongea Aunt Ezekiel

NINI MAONI YAKO



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2XTWoHO
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3Bn8eYF

No comments:

Post a Comment