Cedric Kaze tayari yupo nchini, ametua usiku wa kuamkia leo na huenda wakati wowote akatambulishwa kama Kocha Msaidizi.
Inaelezwa Kaze ataanza majukumu yake mara moja na atakuwa sehemu ya benchi la ufundi kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii Jumamosi Septemba 25.
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3lK3rdW
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/2ZpRind
No comments:
Post a Comment