Kitabu cha kuhifadhi n kutunza kumbukumbu za rekodi za Dunia #GuinnessWorldRecordsBook kime waongeza dada wawili wa Kijapani ambao ni mapacha wa zamani zaidi (wenye umri mkubwa zaidi) wanaoishi ulimwenguni kwa sasa.
Mapacha hao Umeno Sumiyama (L) na Koume Kodama wenye miaka 107 na siku 330' walizaliwa Nov. 5, 1913, wamevunja rekodi ya awali ya mapacha Kin Narita and Gin Kanie, walio ishi miaka 107' na siku 175 ,raia wa japani pia.
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3ABCJKY
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/3i03WzK
No comments:
Post a Comment