Yanga yaitikisa Kigoma, mapokezi yake usipime - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, July 22, 2021

Yanga yaitikisa Kigoma, mapokezi yake usipime



Kikosi cha Klabu ya Yanga kimewasili salama mkoani Kigoma na kupokelewa na mamia ya wanachama, mashabiki na wapenzi wa timu hiyo ya wananchi.





Yanga ipo mkoani Kigoma tayari kuwavaa watani wao wa jadi Simba SC ambao wenyewe wanasafiri leo jioni kuelekea huko kwaajili ya mchezo wa Fainali ya FA.



from Udaku Special https://ift.tt/3iy3hVK
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/36TmvzA

No comments:

Post a Comment