Vanessa Mdee "Kukosa Ada ilinifanya Niache Chuo Kenya" - Mapenz Wakubwa

Hot

Tuesday, July 20, 2021

Vanessa Mdee "Kukosa Ada ilinifanya Niache Chuo Kenya"


Vanessa mdee amewahi kutusanua Hali iliyopelekea kuacha kusoma Chuo Nchini Kenya, Vanessa alidai kukosa Fedha ya Ada ilimfanya aachane na masomo katika chuo hicho .

Vanessa alitembelea chuo hicho pale tu alipopata shavu lakuwa Judge Katika mashindano ya kusaka vipaji ya East Africa Got Talent yaliyokuwa yakifanyika nchini Kenya .



from Udaku Special https://ift.tt/3kDGeeG
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3wYqCFi

No comments:

Post a Comment