Baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii wa Bongo Fleva @vanessamdee amepata mtoto kutokana na kuwa na ujauzito Kupitia ukurasa wake wa Instagram @vanessamdee amekanusha na kusema muache kupanikisha watu kuwa amejifungua na kuwauliza kuwa aliyewaambia kuwa yeye amejifungua ni nani..?
from Udaku Special https://ift.tt/3BlFOjc
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/3BgtuAw
No comments:
Post a Comment