Ama kwa hakika uchawi na mambo ya ushirikina hua limekita mizizi katika sehemu nyingi za Afrika. Nilililewa katika mkoa wa magharibi mwa Kenya katika kauti ya Busia ambapo pia swala zima la uchawi lilikuwa limekidhiri. Watu wengi walisema kuwa watu walijingiza katika swala hili kwani hawakutaka maendeleo na ambapo walitaka kila mtu awe sawa kama ni umaskini uwazonge nyote. Baba yetu ambaye ni marehemu alikuwa na ugomvi na jirani yetu mmoja kabla ya kifo chake na kulingana na jinsi mama alivyotuambia ni kwamba jirani yule alisema kuwa lolote ambalo tungejaribu kufanya halingefua dafu. Mama pia alituambia kuwa jirani yule alikuwa mchawi na ndiye aliyepelekea kifo cha baba yetu mzazi. Ama kwa hakika maneno yale yalitukosesha usingizi na hata wakati mmoja nilikuwa na mawazo ya kuenda kumwomba jirani yule msamaha lakini nilichukua hali jinsi ilivyokuwa. Familia yetu ilikumbwa na matatizo si haba.
Nilikuwa kitinda mimba katika familia ile. Masomo ya jamaa zangu yalikumbwa na misukosuko kwani kila tulipokaribia kufanya mtihani tulifukuzwa shuleni kwa ukosefu wa karo. Mama alituelezea fika kwamba jirani yule ambaye alikisiwa kuwa ni mchawi alikuwa amesema kwamba hatungewahi kufanikiwa kwa lolote tulilojaribu. Ama kwa hakika hakuna hata yeyote kwenye familia yetu ya watoto wane ambao ni dada zangu watatu na mimi aliyemaliza hata darasa la nane. Sote tulifika katika darasa la sita na kuacha masomo. Ama kwa hakika jirani yetu alikuwa kiini cha mahangaiko yetu kila mara. Baada ya muda wa mwaka mmoja kupita dada zangu watatu waliolewa kwa kuwa maisha yalikuwa magumu ajabu na mamangu ambaye alikuwa ni mjane hangeweza kuttutimizia mahitaji yetu sote. Mara maisha ya ndoa iliwashinda
dada zangu na wakrejea nyumbani kwani walisema kuwa waume wao walikuwa ni watu ambao hawakuwajibika. Maisha yalikuwa magumu pale nyumbani kwani hata kupata chakula ilikuwa ni vigumu. Kama kijana pekee kwenye familia ile nilijitahidi kwani nilitafuta kazi za sulubu na kukimu jamaa zangu. Nilifahamu fika kwamba siku moja hali ingerudi kuwa shwari. Ama kwa hakika hali ngumu ya maisha ilitupiga tusijue hata la kufany. Siku zilivyosonga ndipo hali ilikuwa ngumu hata zaidi. Dada zangu wawili walijifungulia kwetu nyumbani na sasa hio ilimaanisha kwamba maisha yalikuwa yanazidi kuwa magumu. Siku moja shangazi yetu alitutembelea pale nyumbani na akawa mwenye masononeko ajabu. Alitupa moyo na kutuambia kwamba shida zetu ambazo zilitokana na nguvu za uchawi zitaisha kwani angenipeleka mimi kwa daktari Kiwanga nipate usaidizi ambapo ingesaidia familia yote.
Siku iliyofuatia tulienda kwa kwa afisi za daktari Kiwanga kwa uasidizi mimi na shangazi yangu. Ama kwa hakika daktari Kiwanga alisema kuwa jirani yetu ndiye aliyekuwa na ametuganga. Alinihudumia na kunipa hakikisho kwamba baada ya siku tatu hali itarejea kama kawaida na hata dada zangu wangerejea kwa waume zao. Nilirejea nyumbani na kwa kweli baada ya siku tatu mabo yalikuwa yameanza kubadilika. Nilipata kazi jijini. Dada zangu walirejea kwa waume zao. Yule jirani ambaye alikuwa mwenye kuleta mabo hayo yote alikuja nyumbani huku akiomba msamaha na kusema kuwa hakulala kwa siku tatu kwani aliota kuwa alikuwa akinyongwa. Sikusita bali tulimwelekeza kwa daktari Kiwanga. Alilipa kitita cha shilingi elfu sabini ili kurejeshewa hali ya kawaida. Tangu siku ile tuliishi kwa amai na upendo na jirani yule kwani aling’amua kwamba pwagu hupata pwaguzi kwa wakati wowte ule.
Daktari Kiwanga an uwezo wa kutibu maradhi tatanishi kama vile kisono, kaswende na mengineyo kwa muda wa siku tatu peke. Ana uwezo wa kukemea majini yanoyokusumbua kwenye usingizi. Huwezesha biashara yako kunawiri. Ana uwezo pia wa kukusaidia kurejesha
mali uloyonyang’anywa kwa mfano baada ya mume wako kufa. Ni mtu ambaye uwepo wake katika jamii ni furaha ya watu wengi kila wakati. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com
ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com
ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.
from Udaku Special https://ift.tt/3i1pZqd
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/3eNYv57
No comments:
Post a Comment