Tozo zote za Kuendesha Chaneli za YouTube au Blog Kufutwa - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, July 1, 2021

Tozo zote za Kuendesha Chaneli za YouTube au Blog Kufutwa



Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema watafuta Tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana Vijana kujiajiri kwa kuendesha Chaneli za YouTube au Blog

Amesema Vijana walikuwa wanapata shida kutokana na Kodi na Tozo zilizowekwa. Ameeleza hayo katika Uzinduzi wa Tovuti na Mpango Mkakati wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa miaka mitano, 2021/22 hadi 2025/26




from Udaku Special https://ift.tt/36adzFq
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3x9XkUX

No comments:

Post a Comment