Shura ya Maimamu "Polisi Wawaachie Viongozi Chadema Bila Masharti" - Mapenz Wakubwa

Hot

Sunday, July 25, 2021

Shura ya Maimamu "Polisi Wawaachie Viongozi Chadema Bila Masharti"



Shura ya Maimamu Tanzania imetoa tamko la kuwataka Polisi kuwaachia bila masharti viongozi na wanachama wa CHADEMA waliokamatwa Mwanza wakijiandaa kushiriki Kongamano la Katiba Mpya

Shura ya Maimamu wamesema kukamatwa kwa Viongozi ni kiashiria kuwa Jeshi la Polisi linaendeleza hujuma dhidi ya wananchi kwakuwa haki ya kukusanyika na kutoa maoni ni haki ya Kikatiba

Aidha wameshauri Vyombo vya Dola ikiwemo Polisi kutoendeleza vitendo vya ukiukwaji Haki za Kiraia na kukandamiza Uhuru wa watu Kujieleza



from Udaku Special https://ift.tt/2Tx2vQ8
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3BOdhD4

No comments:

Post a Comment