Sallam Sk "Diamond Platnumz Alichaguliwa Kuwania tuzo za BET akiwa na Ngoma Mbili tu Lazima Tumpigie Salute" - Mapenz Wakubwa

Hot

Tuesday, July 20, 2021

Sallam Sk "Diamond Platnumz Alichaguliwa Kuwania tuzo za BET akiwa na Ngoma Mbili tu Lazima Tumpigie Salute"


"Burnaboy alichaguliwa kuwania @betawards akiwa ameachia Album na kashinda Grammy, na @diamondplatnumz ameingia akiwa kaachia ngoma mbili 2 TU WAAH na JEJE ndo mjue kuwa Dimaond ni mkubwa sana Ngoma mbili tu mpaka BET awards.. hivyo kikawaida tu ilitakiwa tumuapriciate Diamond " - @sallam_sk




from Udaku Special https://ift.tt/3eCyRQT
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3kzugCH

No comments:

Post a Comment