RASMI sasa Lionel Messi sio mchezaji tena wa Barcelona , mkataba wake umeisha rasmi jana usiku
Joan Laporta anakimbizana na muda kumpa gwiji huyo mkataba mpya . Wanapambana na ishu za Financial Fair Play ( FFP ) na baada ya hapo ndio wapate ufumbuzi kuhusu suala la Messi
NOTE
Ngoja wenye hela zao wampitie juu kwa juu ndio Laporta hapo akili itamkaa sawa
from Udaku Special https://ift.tt/369y3y4
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/3jEmPcS
No comments:
Post a Comment