Polisi wenye mabomu na mbwa wazuia kongamano - Mapenz Wakubwa

Hot

Wednesday, July 21, 2021

Polisi wenye mabomu na mbwa wazuia kongamano



Kongamano la Chama cha Siasa cha CHADEMA la kudai Katiba mpya lililokuwa lifanyike leo Jijini Mwanza, limeshindwa kufanyika baada ya polisi waliobeba mabomu ya machozi, silaha za moto pamoja na magari yenye mbwa kutanda katika eneo la hoteli mahali ambapo kongamano hilo lingefanyika.


Hapo jana Julai 20, 2021, Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel, alipiga marufuku mikusanyiko isiyo ya lazima katika mkoa huo kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa hatari wa Corona.



Jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Ramadhan Ng’anzi, ziligonga mwambaada ya kupigiwa simu mara kadhaa na kutopokea, lakini hivi karibuni RPC huyo alisema hatoruhusu kufanyika kwa mikutano isiyokuwa na vibal



from Udaku Special https://ift.tt/2TpUAEe
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3zlqUHD

No comments:

Post a Comment