Polisi: Mbowe Anatuhumiwa Kula Njama za Kufanya Vitendo vya Ugaidi - Mapenz Wakubwa

Hot

Friday, July 23, 2021

Polisi: Mbowe Anatuhumiwa Kula Njama za Kufanya Vitendo vya Ugaidi




Baada ya kushikiliwa kwa takribani siku mbili, Jeshi la Polisi limesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anakabiliwa na tuhuma mbalimbali ikiwemo za kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi na kuua viongozi wa Serikali ambapo wenzake sita walishafikishwa mahakamani.


from Udaku Special https://ift.tt/3zmr0yK
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3kUW7xg

No comments:

Post a Comment